Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,506
huyu PAP atakua si mtu mzuri,kwanza kavamia mitanbo ya IPTL pale tegeta akaiteka bila ridhaa ya wenyewe,yaani iptl na kuanza kuiendesha mitambo huku akiwafukuza iptl wenye mashjne.
hajaridhika akaenda na kuchukua pesa ya iptl kule bank.
IPTl nao wamezidi upole,hata kupiga yowe hamna
hajaridhika akaenda na kuchukua pesa ya iptl kule bank.
IPTl nao wamezidi upole,hata kupiga yowe hamna