Wht does Sizonje mean?nini asili ya hili jina?
Mpendwa Sizonje habari za siku.... natumaini u buheri wa afya kibaiolojia japokuwa kiroho u tofauti...
Rafiki yangu Sizonje nakumbuka enzi zile tukijadili mpira ulivyokua hodari kumlaumu kocha!! Kwamba kocha wa timu yetu hawezi... kocha mzembe na anafuga uvundo....
Kadiri tulipokutana kila baada ya sentensi tatu lazima umseme kocha kila siku ikawa hamkani si shwari!!
Sizonje utakumbuka kocha alikuvumilia sana japokuwa ulikua huwezi!! Mdomo na maneno mengi yalikubeba kwa mashabiki lakini wachezaji wenzio walikujua!! Ulikua bingwa wa kukariri tarakimu za mchezo bila ujuzi na weledi wa mchezo!! Hata kocha alipoonywa sana juu ya kiwango chako kibovu bado alikubeba ingawa ulimsogoa!!
Hayawi hayawi yakawa Sizonje!! Kauli zako zikalipa!! Kocha akastaafu na ukocha ukapewa wewe!! Kila mtu ndani ya timu akiduwaa mashabiki waliolewa kauli zako tamu ziso kifani walikubeba hatimaye ukawa kocha!!
Awali ulionesha uwezo wa kukonga mashabiki kwa sifa na vitimbi kemkem!! Siku zikasonga mashabiki wakaona timu inarejea nyuma kuliko ilikokuwa kwa kocha mzembe!!
Nakujua Sizonje!! Hupendi kukosolewa na wala hupendi kimya cha sifa!! Vigelegele vya mashabiki na vifijo vimekoma!! Mbinu zote za michezo ulizotumia zimebuma!! Timu inarudi nyuma kwa kasi na wachezaji wameshapoteza mori!! Kila ugusapo sasa hapagusiki!! Wachezaji wanaonesha ari machoni pako tu lakini uwanjani wamedorora!!
Sizonje usichanganyikiwe... mambo bado ndio kwanza safari inaanza!! Ishike ngao na kigao kuyahimili majira!!!
Kwa leo naishia hapa Sizonje nikija mjini ntakutembelea tule maboga ya enzi zetu.
-----------------------------------------------------------------
UPDATES:
----------------------------------------------- ---------------
Wakuu napenda kuwaarifu kuwa nimepata taarifa nyeti na rasmi kuwa kocha wetu mpendwa Sizonje ameusoma uzi huu na comments zenu zote. Shukrani kwa wote mliotoa ushauri kwa kocha wetu.

Heeee!!!!Asante kwa updates mkuu , taarifa zinaonyesha kwamba nusu ya muda wao wanautumia kujaribu kutudukua .
we humu ni habari ya sizonje sio rais, we vipi unataka kutumbuliwaBaso hakuna haja ya kuwa n.a. washauri wa rais n.a. kama tumeshidwa kisasa basi tufanyekienyeji tumletee kamati ya ufundi atuangalizie kuhusu uchumi
Inatokea upande gani hiyo Harufu???kuna harufu ya m7 humu!
czonje alisema ai wish ai cudubi refaa. angezima mchezo ghafla, czonje hatariiHii mechi bora iarishwe tu ukawa wanacheza rafu mno....!
ni kocha wa timu, kocha kiongozi. kama huelewi kasome lugha ya kiswahili ili usome vizuri hii mada yawezekana kiswahili kinakusumbua, hivyo hutaweza changia ipasavyo, mana mada ipo katika lugha kiswahiliJamani huyu ni Sizonje ni nani???Jina pls nami nichangie
ifike point mkue hii forum ni kwa ajili ya kutoa la moyon sasa we kama yanakuuma ukisikia mabaya kaa kimya kuliko kuita wenzio wapuuz kwao limewafika kama bado kwako ni suala la mda ingekua ni mwanafunz uliekosa mkpo usinge sema haya sa iz,ungekosa chanjo hospital usinge uona upuuz wa watu.tuachen unafki na ubinafsi kisa wewe yamekunyookea kusema watu waliish kwa dil lakin chanjo zilikuepo na leo dil hamna na chanjo kwisha nani mjanja hapo? kizur chajiuza kibaya ndo kinapenda kelele.Mungu anawaona.Ni wapuuzi sana hawa, hii nchi imejaa wanafiki sana, angalia majina ya kinafiki anayopewa raisi, nyie ndio mtasababisha hii forum ifungiwe, endeleeni kumchafua chafua, mwenzenu kafungwa kisa ameota, kufungiwa hii ni issue ndogo sana
Sizonje bado anaongea kama yuko kwenye kampeni.
Sizonje bado ajiamini kama yeye ndie.
Sizonje anaropoka kama kavuta bangi ambayo haijakomaa.
u zangu mie jamaniMpendwa Sizonje habari za siku.... natumaini u buheri wa afya kibaiolojia japokuwa kiroho u tofauti...