ddcmanesto
Senior Member
- Nov 16, 2016
- 122
- 39
Nilijifanya kudai Risiti duka moja uswahilini mangi alinitukana nikajutaa Kumtii sizonje.ukienda kwa mama ntilie,dai risiti..uwiiiiii,sizonje nikija mjini ntakuletea maboga na viazi..
Nilijifanya kudai Risiti duka moja uswahilini mangi alinitukana nikajutaa Kumtii sizonje.ukienda kwa mama ntilie,dai risiti..uwiiiiii,sizonje nikija mjini ntakuletea maboga na viazi..
Jamani huyu ni Sizonje ni nani???Jina pls nami nichangie
Ndiyo kwanza dakika ya 25 kipindi cha kwanza team iko hoi...Dakika ya ngapi hiyo ...
Sizonje kaingia na mawe uwanjani,ukitaka kufunga goli anakupondaAnahangaika mno...
kuna mtu sehemu nyingine amesikika akimwambia Sizonje anakuwa kichaa. ..
team inazidi kuboronga.
Hili la kuvamia viwanja vingine na kuanza kuwatishia hadi mashabiki litamgharimu sana.
Ha ha ha ha ha ha ha....Sizonje kaingia na mawe uwanjani,ukitaka kufunga goli anakuponda
Si ulimuulizia malaika ameazna kazi sizonje sio mtu wa mchezo mchezosizonje mbona malaika hashuki..?
ngoja nikujibie
anaogopa akishuka atakutana namasizonje!
Mkuu,January nitakununulia Pombe ya Mtama.