Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Aisee...kaja na technic na kufundisha wachezaji wake waanze kujifunga goli nyumbani kisha ndio waanze kushambulia timu pinzani.Mpaka sasa mechi tushafungwa 2-0
 
Huyo unayemrejea kwa mafumbo yako hawezi kuchanganyikiwa wewe utasubiri sana.Tafuta cha maana cha kufanya.Kutumia mafumbo katika kumrejea mtu ni uoga kua jasiri na umtaje jina ili ikibidi ajitafakari.
Hivi wewe unaijua fasihi na dhima zake kweli wewe??????
 
Huyo unayemrejea kwa mafumbo yako hawezi kuchanganyikiwa wewe utasubiri sana.Tafuta cha maana cha kufanya.Kutumia mafumbo katika kumrejea mtu ni uoga kua jasiri na umtaje jina ili ikibidi ajitafakari.
tuondolee uki.la.za wako hapa. Kama huujui utajiri wa lugha yetu adhimu pita na zako. Halafu wewe, mbona unaguswaga sana na hoja zenye kuelimisha na kukumbusha na hata kuonyesha njia? Usiwe jembe la ng'ombe kukokotwa hata lisipohitaji mradi tu yupo ng'ombe.
 
Tatizo la sizonje hataki wachezaji wake wamkosoe. Nawakimkosoatu Anawauza au Anakuwe Benchi. Uyukocha hataki kukosolewa
 
Magoli mie sioni kama ni kipaumbele cha Sizonje. Anaamini sana katika chenga potelea mbali hata kama timu inafungwa.
 
Sizonje ni kocha asiyefuata sheria za mchezo, hata TFF wanamuogopa bora tumpeleke kumshtaki FA maana sheria mchezo haziheshimu kabisa,,,,, Czonje anakera na kiasi flani anakiubaguzi kama c wakutoka kule kwao au c wa dini yake huwezi kuwa Katik 11st eleven yake
 
kocha mzembe analima mananasi tu.

ukipita Kurasini kuna sehemu 'alikichafua' wakati anajenga daraja ya kigamboni pasua miamba pasua vichuguu mwaga zege piga lami la maana ukipita pale unam feel like meeen, that was the man!

najuta kutomkubali Jakaya, anisamehe tu. Wish he does the Putin thing.




d1.jpg
 
SIZONJE sijui anapeleka wapi timu.....

Alafu mbona Sizonje amepewa majina mengi this time?.......

Mala Juma Ponda Mali ,Mala Nyampala,Tembo, Sasa nasikia anaitwa Trump ......

Kuna ukweli juu ya majina ya Shizonje?.......
Jina lake kamili ni pogba
 
Mnatukanaweee lakini mnanyooka. Matusi hayaui.
 
Back
Top Bottom