Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Kama ni Sizonje ni kocha basi atakuwa ni DAVID MOYES.

Jamaa anauwezo mdogo sana kuliko hata KIKWETE. Tumelamba galasa asee
Mfugaji hana haraka .ngombe anazaliwa anakuwa miaka 3 anakamuliwa na kulimishwa miaka miwili .emefika miaka mitano anauzwa ndio pesa ya nguvu inapatikana ndio inatolewa hela ya karo ,mabati ya nyumba,pombe na nyama kidogo ,anavuta subira tena mpaka ngombe mngine tena akuwe.kwa hiyo ndio hivyo inabidi tuwe wavumilivu tuu
 
[emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuzoea Maisha ya wizi ,ulaghahi,utapeli ni wewe na wenzako .sisi waTz 90% tunaishi kwa pato halali toka tupate Uhuru ,tafadhali usitupake matope
 
Ni wapuuzi sana hawa, hii nchi imejaa wanafiki sana, angalia majina ya kinafiki anayopewa raisi, nyie ndio mtasababisha hii forum ifungiwe, endeleeni kumchafua chafua, mwenzenu kafungwa kisa ameota, kufungiwa hii ni issue ndogo sana
Forum ifungiwe na watu jee [emoji844]
 
Sizonje bado nina imani n.a. wewe ila huku kwenye uchumi mambo si shwariii bado unamda wa kufanya vizuri mafuta yakawa asali tafuta watalamu as uchumi kaa nao meza moja uone
Heri yako wewe bado uko vizuri una poda yakuendelea kumpaka .wenzio huku ni vumbi tuu linatutimkia
 
Sizonje anafanya kazi
Mungu ampe nguvu usiku na mchana.., walozidi kuwanyonya wananchi na rushwa.
 
"

"Individual savings/holding is collectively harmful in economic growth"

Holding/savings ipo hazina tu,ndo maana inaona hali ni mbaya,Mtu mmoja kahold pesa
Ushauri huu umekosea kumpa sizonje .kwa kutumia hiyo lugha ni lugha ya adui hivyoo hiyoo kwake [emoji23] [emoji23]
 
Baso hakuna haja ya kuwa n.a. washauri wa rais n.a. kama tumeshidwa kisasa basi tufanyekienyeji tumletee kamati ya ufundi atuangalizie kuhusu uchumi
Tatizo ni kwamba hakuna anae thubutu kushauri vinginevyo .anaogopa kuambiwa amepewa rushwa ,embu fikiria unatoa ushauri pesa zirudishwe kwenye mabenki .embu piga hiyo picha [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Takataka na uchafu agraahhhhhhhh! Mijitu mengine mnafaa kuishi gerezani tu
Sizonje kaanza kuwapunguzia mshahara na posho wachezaji. Kibaya zaid Sizonje hataki wachezaji waweke vocha kwenye simu zao, anadai hawatafanya kazi. Wanaongea tu hawatafanya kazi.
Sizonje huwezi kuuondoa au kuwapunguza umaskini kwa kuwachukia watu.
Ww sizonje! Ona sasa unataka kwenye timu yako uwe unalipwa ww tu mshahara mkubwa.
Timu kila siku inafungwa na bado umeng'ang'ania tu
 
Acha porojo wewe mfumo gani watu wanarudishwa,kukamuliwa kodi zisizo na muelekeo,ajira za watu kupungua kwa kukosa muekekeo wa Uchumi,bandarini hakuna mizigo,mabenki yanakata mitaji huwo ndio mfumo toa poroja hapa.
 
Hawa ndio Washairi na Wagani tunaohitaji Tanzania. Kama kweli msanii ni kioo cha jamii anahitajiwa ajue yale yanayosemwa mtaani na ayatoa kwa wahusika kiusanii na pia kiuhalisia. Asante kwa shairi lako.
 
[emoji115] Shukuru Akaa kamrija kako bado kanàtoa mvinyo,ila muda simrefu utakuja hapa uwanjani .Muulize Shigongo imekuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…