Shida Si Kocha Sizonje, Tatizo ni aina ya wachezaji Alionao. Wachezaji hawataki Kufanya mazoezi,Kukimbia,kukaba Yote Hawataki. Wanataka Ushindi Tu Na Magoli Yao Yawe Penalt Tena Wakati Wanapiga Hizo Penalt Kusiwe na kipa Kabisa. Baada Ya Hapo Wawe Mabigwa Na Wanataka Wacheze Mechi Za Kimataifa Kabisa. Sisi Washabiki Wao Tutakulaumu Kocha Sizonje Kama Utashidwa Kuwasaidia Wachezaji Kuyafikia Haya Yote. Ngoja Nikurudishe Nyuma Kidogo Kocha Sizonje, Kabla Yako Tulikuwa Na Kocha Anaewasaidia Wachezaji Kuyafikia Haya Yote, Ikafika Mahali Mashabaki Tukachoshwa Na Aina Yake Ya Ukocha Tukataka Tupate Kocha Atakaye Rudisha Uhai Wa Timu, Mungu C Lemutuz Sizonje Tukakupata Kocha Unaeteka Tupate Ushindi Kwa Kujituma Yaan Tufanye Mazoezi, Tukabe, Tukimbie Ndo Tupate Upate Ushindi. Leo Sizonje Tumechoshwa Na Hii Hali Tunataka Tuwe Kama Zamani Na Kocha Wetu Yule Wa Ushindi Kitonga Hatutaki Fomula Zako Zisizotupa Ushindi Mapema. "kweli Ukistaajabu Ya Sizonje..."