i-77
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 729
- 828
Hujaelewa nini? Jana Pombe Mlizidisha? Ulevi noma! Sirudii!
mkuu u made my dayHujaelewa nini? Jana Pombe Mlizidisha? Ulevi noma! Sirudii!
mkuu u made my dayMtukufu wetu wa mtaa uleeeeee!karibu na mgahawa wetu wa farconJamani mmeniacha Gizani.sizonje ndo nani
Nani akfungwa kwa kuota?
Lema kafungwa au yuko mahabusu! Lakini ukiona mtu anapewa majina mengi ujue kuna tatizo na huyo mtu! Mimi ningelijiuliza kukani? Ukiwa mwalimu shuleni ukaitwa majina ya ajabu ajabu unauliza ni kwa nini!Lema
Lema kafungwa au yuko mahabusu! Lakini ukiona mtu anapewa majina mengi ujue kuna tatizo na huyo mtu! Mimi ningelijiuliza kukani? Ukiwa mwalimu shuleni ukaitwa majina ya ajabu ajabu unauliza ni kwa nini!
hahahahaaasizonje hawajui hata makocha wa team pinzani juzi alimuita kocha wa arsenal sadam na wa chelsea gadafi
You are not objective! Kumbe wewe ni CCM mkereketwa. I have been a teacher for 10 years, sikupata jina la kipuuzi. Walikuwa wananiita Doctor kwa kufundisha vizuri Chemistry na Biology! Kuwa objective!Hayo majina ya walimu najua sana, sometimes ni upumbavu tu wa wanafunzi, unakuta mwalimu anapiga kazi yake kiuweledi sana, kutokana na hulka ya kipuuzi ya baadhi yetu tokea kuzaliwa, utashangaa wanamtungia jina la kipuuzi puuzi.
Badala ya kujifunza na kuheshimu
Freedom of speech na ukisha kuwa public figure uwezi zuia majina na matani juu yako Lamda uwe uongozi wa kibabeHayo majina ya walimu najua sana, sometimes ni upumbavu tu wa wanafunzi, unakuta mwalimu anapiga kazi yake kiuweledi sana, kutokana na hulka ya kipuuzi ya baadhi yetu tokea kuzaliwa, utashangaa wanamtungia jina la kipuuzi puuzi.
Badala ya kujifunza na kuheshimu
mkuu unaitwa stroke kwanini usingejiita kiharusi kudumisha kiswahili?Awamu hii mtatunga hadithi za kila aina! Na bado!
Because of dictatorship regime in Burundimkuu unaitwa stroke kwanini usingejiita kiharusi kudumisha kiswahili?
You are not objective! Kumbe wewe ni CCM mkereketwa. I have been a teacher for 10 years, sikupata jina la kipuuzi. Walikuwa wananiita Doctor kwa kufundisha vizuri Chemistry na Biology! Kuwa objective!
I might be Mpinzani mkereketwa, though I am not, but I am Objective!I have been for 20 years, and am objective and I don't have to convince you. Ewe mpinzani mkereketwa.
HahahahahahaahahahaSIZONJE sijui anapeleka wapi nchi.....
Alafu mbona Sizonje amepewa majina mengi this time?.......
Mala Juma Ponda Mali ,Mala Nyampala,Tembo, Sasa nasikia anaitwa Trump ......
Kuna ukweli juu ya majina ya Shizonje?.......
Mpendwa Sizonje habari za siku.... natumaini u buheri wa afya kibaiolojia japokuwa kiroho u tofauti...
Rafiki yangu Sizonje nakumbuka enzi zile tukijadili mpira ulivyokua hodari kumlaumu kocha!! Kwamba kocha wa timu yetu hawezi... kocha mzembe na anafuga uvundo....
Kadiri tulipokutana kila baada ya sentensi tatu lazima umseme kocha kila siku ikawa hamkani si shwari!!
Sizonje utakumbuka kocha alikuvumilia sana japokuwa ulikua huwezi!! Mdomo na maneno mengi yalikubeba kwa mashabiki lakini wachezaji wenzio walikujua!! Ulikua bingwa wa kukariri tarakimu za mchezo bila ujuzi na weledi wa mchezo!! Hata kocha alipoonywa sana juu ya kiwango chako kibovu bado alikubeba ingawa ulimsogoa!!
Hayawi hayawi yakawa Sizonje!! Kauli zako zikalipa!! Kocha akastaafu na ukocha ukapewa wewe!! Kila mtu ndani ya timu akiduwaa mashabiki waliolewa kauli zako tamu ziso kifani walikubeba hatimaye ukawa kocha!!
Awali ulionesha uwezo wa kukonga mashabiki kwa sifa na vitimbi kemkem!! Siku zikasonga mashabiki wakaona timu inarejea nyuma kuliko ilikokuwa kwa kocha mzembe!!
Nakujua Sizonje!! Hupendi kukosolewa na wala hupendi kimya cha sifa!! Vigelegele vya mashabiki na vifijo vimekoma!! Mbinu zote za michezo ulizotumia zimebuma!! Timu inarudi nyuma kwa kasi na wachezaji wameshapoteza mori!! Kila ugusapo sasa hapagusiki!! Wachezaji wanaonesha ari machoni pako tu lakini uwanjani wamedorora!!
Sizonje usichanganyikiwe... mambo bado ndio kwanza safari inaanza!! Ishike ngao na kigao kuyahimili majira!!!
Kwa leo naishia hapa Sizonje nikija mjini ntakutembelea tule maboga ya enzi zetu.