Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

75265275e8eeac796bf8bbf967ecb22c.jpg
 
Tunawajua wanaomkwamisha Sizonje, niwale wadhamini wa wachezaji waliokuwa wanawalisha bagi wachezaji hao, huku wachezaji wakionekana wanajuhudi uwanjani kumbe ni juhudi za bangi. Sizonje anataka mchezo Safi. Kapiga marufuku utumiaji wa bangi kwa wachezaji wake. ..wachezaji wamelegea... Ndiyo maana kila Dirisha dogo likifika lazima asajili na wazamani kuwaachisha.
 
Umeanza visingizio vya Sizonje!! Kwanini mnazunguka mbuyu? Mwambieni Sizonje kazi imemshinda!!
 
lusungo : Kocha Sizonje yuko vizuri, wala hataki visingizio!! Timu alikabidhiwa imejaa, 'makomandoo', wanadhulumu haki za wachezaji. Makomandoo waligeuka wahasibu wa timu eti kila mechi wao tu ndo wachukue viingilio mlangoni. Uwanja unajaa halafu makomandoo wanasema fedha zimepatikana kidogo. Yeye kama mchezaji kipindi hicho ilimuuma sana Sizonje. Akaapa kuwa kocha ili apate nafasi ya kutetea wachezaji. Kwa sasa kocha Sizonje kawaagiza uongozi wa timu hata makomandoo. Zitumike tiketi za electronic kama mabasi ya mwendokasi. Sasa wachezaji Safi wanaanza kufaidi Matunda ya kocha mpya ingawa kocha bado anaangaika na hasara zilizoletwa na makomandoo.

Hapa hatuzunguki mbuyu, tunasema ukweli na tunamweleza kocha aendelee na uzi ule ule, wachezaji wabangi waondolewe na makomandoo wazurumati wakione cha mtema kuni!
 
Sizonje kazi imemshinda!! Timu inarejea nyuma kwa kasi!!!
 
Sizonje tumpe nafasi ya kumpima! Kuku tunamuangalia sehemu tatu ili tujue ubora wake kwanza tuangalie idadi ya mayai atakayo taga! Pili tuangalie yale mayai akiatamia atatotoa mangapi! Tatu tuangalie vifaranga vikishatotolewa vitakua vingapi! Sizonje ulezi mwema!
 
Ama kwa hakika Sizonje hapa ndio nyumbani kwetu, milango ipo lakini wanapita madirishani...!! kama ligi imekua ngumu unaruhusiwa kuweka mpira kwapani.. Kuanza upya sio ujinga! Wewe kama kocha hutakiwi kufungamana ama name club husika au TFF.. Simama katikati.
 
Sizonje kazi imemshinda!! Timu inarejea nyuma kwa kasi!!!
Fitina hazimbabaishi Sizonje!! Na kwa hapa umekosa ushawishi kwa uongozi wa timu kumtimua kocha. Sizonje ndiye kocha wa ukweli utake usitake!!
 
Sizonje Total football ya Marcio maxmo inaonekana kumshinda,anaweza kumudu style ya Pluijm tu ya kupaki gari nyuma. Hali inayosababisha forward kuwa butu.ooh sizonje,badilisha mfumo team ipate magoli sijonze angalau iweze pata ata nafasi ya best looser.
 
Back
Top Bottom