Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Bora bodi ya mikopo iwadai tu hela zao maana ni hasara tupu! Yaani huwezi amini hizi ndizo arguments za wasomi wa hili taifa!
Sizonje mwisho wa siku atabaki peke yake.apambane kwa akili yake,kashatibua kila mtu,nae atanyooka tu
 
Tatizo la Sizonje ubishi mwingi na hashauriki!! Timu imemshinda!!!
Kujiuzulu ukocha si aibu, unaweza ukawa ushujaa pia na akaingia ktk rekodi za timu yake na ukanda wake.

Anasajili kwa mbwembwe ila anaishia kutengua usajili kila uchwao.
 
Tatizo lenu mpo kama watoto walioachishwa ziwa kunyonya huwa wanalia usiku kucha wakiona wanaonewa na ni haki yao kunyonya siku zote kumbe hawajui kuna hatua zinazofuatia mbeleni pengine zitakuwa nzuri au mbaya huo ni mfano tatizo sio Magufuli tatizo ni mfumo na maisha tuliozoeya kuishi ya wizi, ulaghai ,rushwa, dhuluma na mengine yafananayo nayo, sasa Rais anajitahidi kurudisha katika misingi na mfumo uliobora wa kuyafikia malengo watu mnaona taabu ,

Hii nchi jama hata angelishuka malaika kwa hali iliyokuwa imefikia hangeweza kuiongoza humu kila mtu msemaji kila mtu mjuaji cheusi kita takatishwa kuwa cheupe inabidi kujitoa ufahamu tu kuiongoza hii nchi watanzania hatubebeki ,

Mmesahau kuna mikataba ya miaka mia moja humu hembu tuwe na utu jama tumsaidie Rais kuendesha hili gurudumu la maendeleo tuache kulia lia Mungu hapendi namalizia kusema asiyefanya kazi na asile na mikono milegevu hujenga paa bovu.
Ww umejuaje ni rais ww ni mchochezi
 
Ni wapuuzi sana hawa, hii nchi imejaa wanafiki sana, angalia majina ya kinafiki anayopewa raisi, nyie ndio mtasababisha hii forum ifungiwe, endeleeni kumchafua chafua, mwenzenu kafungwa kisa ameota, kufungiwa hii ni issue ndogo sana
Umejuaje ni rais tukikupeleka mahakamani utasema umeonewa
 
haki ya mungu kati ya vitu ambavyo sizonje havipendi hata kuvisikia ni huu mtandao wa jf, inawezekana kuna watu amewaweka kufuatilia mada zinazoinanga timu yake, au yeyemenyewe, balaa linakuja jinsi yakumpa ripoti ya mambo kama haya '"'eti.... Mh.... Wanakuita.... Sii.. Si zonje..''
Mbona Sizonje ana ID yake humu, ni mwenzetu unachopost anakipata direct.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom