Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,770
- 59,118
hapo kwenye red hivyo vimatunda vitamu/vichachu vimepotelea wapi siku hizi
:focus: umenikumbusha unavizia mazambarua, mapera kwa jirani unafika home umechelewa unapata viboko
Kumbe unazijua mkwe???
Mi nazipenda jamani, sijui ntazikuta xmass.:A S-coffee:
Hhahahaha, ila bado hamna kukoma. Nakumbuka zambarau si tulikua tunapata nyumbani, basi mtu akipanda anatingisha matawi sisi tunadaka na sketi, zoezi likiisha nguo zimekua zambarauuuuuuuu.