Sizitaki Mbichi Hizi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sizitaki Mbichi Hizi!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Asprin, Nov 11, 2011.

 1. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 46,915
  Likes Received: 14,517
  Trophy Points: 280
  Najua wengi mlikuwa bado hamjazaliwa lakini hebu angalieni wazee tulivyokuwa tunapiga mashairi.
  Shairi hili nalidediketi kwa vidume vya JF vinaoongoza kwa kupigwa vibuti na mabinti wa JF wakiongozwa na monitor wao The Finest.


  TGIF!

  Nyie vijana wa sasa, mkitongoza mkakataliwa msibwatuke eti "hamtaki tena kwanza eti mbichi" wakati mnaumia moyoni. Mbona wazee tunajilia vyetu kiulaini?

  Kutongoza ni Fani na Kipaji:
  Source ODM.

  Weekend njema!!

   
 2. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,376
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  Hadithi hii inatufundisha nini babu?
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,718
  Trophy Points: 280
  wape wape vidonge vyao.....wakimeza wakitema shauri yao....
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wale wanao tongozea wenzao wanaitwaje hivi!!!!!!!!!:A S embarassed:
   
 5. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,376
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  Hizi beti tatu, zimenifanya nicheke, hivi kweli vijana wa siku hizi wanaweza kweli kuwa kama Sungura!? ukimzungusha siku mbili tu, kesho humuoni tena!
   
 6. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,376
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  WanITWA "Makuwadi", Babu yangu alinisimulia eti zamani alikuwa hodari wa kuwaandikia wavulana wenzie barua za kutongozea kisha wanampa ujira wa pesa mbili au tatu
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 46,915
  Likes Received: 14,517
  Trophy Points: 280
  Haikufundishi wewe bali tule tuvijana tunavyokutongoza afu unavipiga chini? Ushatongozwa na wangapi hapa JF? Kama vipi nijibu kwa PM!
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mi ndo naifanya hapa mujini lakini nakula kwanza mimi ndo namkabidhi jamaa aendelee
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Unajua siku hizi idadi ya wanaume ni wachache kuliko wanawake, ukijifanya kulinga mwenzio anajiuliza nitampataje
   
 10. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,376
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  Weshaanza, mwenzio nishazichoka PM zao!
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 46,915
  Likes Received: 14,517
  Trophy Points: 280
  Hebui niforwardie moja aisee! Au ndo ulishawakubalia?
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 46,915
  Likes Received: 14,517
  Trophy Points: 280
  Hahahaha..... kulaaaleki, ndo ile ya kizuri kula na nduguyo siyo?

  Ngoja hii post nimforwardie MwanajamiiOne. Nikisemaga mie ananiita mzushi!!
   
 13. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Haaaa haaa haaa,my babu habari yako binafsi kwanza!
  Naona leo unadili na vijana wako,ungeongeza ubeti mmoja wa kuwatia moyo kuwa wasijali wakajipange upya na kuweka vina na mizani lol!
  Siku hizi watu wanamalizana kwa sms tu na km ni kibuti ni humo humo wala hakuna kurusha ngumi!
  Babu hii kitu mie niliimba sana enzi hizo darasa la tatu km sikosei na mwalimu wangu mpendwa Foibe!
  Nakutakia wikend njema Babu!
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Du weka pia hadithi ya adili na sikiri au Ziwa jipe,watoto wageuka mawe,gulio la katerero,Tola anakula Gizani,Adunje na Jogoo
   
 15. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,378
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Kulikuwa na picha ya sungura ameruka juu lakini akasjhindwa kuyafikia matunda,...., mwaka 1980 darasa la 4! Lingine lilikuwa

  KARUDI BABA MMOJA, TOKA SAFARI YA MBALI;
  KAVIMBA YOTE MAPAJA, NA KUTETEMEKA MWILI;
  WATOTO WAKE WAKAJA, ILI KUMTAKA HALI;
  WAKATAKA NA KAULI, IWAFAE MAISHANI.

  AKATAMKA MGONJWA, NINAUMWA KWELI KWELI;
  HATA KAMA NIKICHANJWA, HAITOKI HOMA KALI;
  ROHO NAONA YACHINJWA, KIFO KINANIKABILI;
  KAMA MNATAKA MALI, MTAYAPATA SHAMBANI
  .
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kama huna kalenda nyumbani kwako, angalia atakacho post ODM utajua leo ni ijumaa.


  Source: klorokwini a.k.a lawyer a.k.a fellow tablet a.k.a majununi!
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 46,915
  Likes Received: 14,517
  Trophy Points: 280
  Hivi nani alikuwekea dhamana? We si ulikuwa lupango?
   
 18. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,162
  Likes Received: 4,129
  Trophy Points: 280

  Cantalisia huyu mwalimu Foibe alikuwa mkoa gani?   
 19. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,162
  Likes Received: 4,129
  Trophy Points: 280
  Asprini mimi hiyo avatar yako inaniacha hoi,
  hata usiposema mimi ninacheka.
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 46,915
  Likes Received: 14,517
  Trophy Points: 280
  Kumbe na wewe kakongwe?
   
Loading...