Siyo ishara njema: Magufuli azomewa Mwanza

Siyo ishara njema: Magufuli azomewa Mwanza

Magufuli hawezi kushangiliwa NA mafisadi.hili lipo wazi.UKAWA ni umoja wa ufisadi.wanaogopa sana Magufuli.
Ndio maana wana finance baadhi ya magazeti na vituo vya TV na watangazaji - mara zote wanaweka chumvi nmo kwenye coverage/airtime zinazo husu viongozi wa UKAWA,sijui baada ya October watajificha wapi - maanake nguvu na resources wanazotumia kumpigia debe ni kubwa mno.
 
Mnataka wananchi watembee kwa miguu kwenda kumuona rais wao?
 
Mwanza imetapika.nafuatilia star television hapa.sijawahi kuona mwanza katika hali kama hii.kweli magufuli anapendwa jamani.
 
Du Fiesta la wanamziki kibao hata Mimi nimekuja kuliona kwani Kuwaona ni gharama Kubwa
 
Twashukuru kwa taarifa Ila tupia na video clip basi maana kuandika anyone can do Ila video live itasaidia
 
Magufuli ndo RAISI,HAKIKA MCHEZA KWAO HUTUZWA,MAGUFULI NDO RAISI
 
Nimepokea taarifa muda huu kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Pombe Magufuli amekumbwa na zomeazomea jijini Mwanza!

Kama ni kweli hii siyo ishara njema kwa uchaguzi wetu mkuu ujao ambao umeambatana na matukio ya ajabu ajabu yanayosababisha simanzi!

Wadau naomba kutokana na msongo wa mambo ya simanzi yanayoukumba huu mchakato, basi tusiongeze majonzi kwa upande mmoja au mwingine wa wagombea! Tuvumiliane! Yatosha sasa!

Muda unabandika post yako hata kufika alikua bado hajafika, labda mida hii ndiyo atakua anatokea airport
 
Were is child Wright

Hivi we mzazi unayemruhusu mototo wako aende kwenye mikutano ya siasa una. Akili???
Ikitokea kukanyagana hawa watoto watanusurika??
 
Attachments

  • 1445094150905.jpg
    1445094150905.jpg
    21.3 KB · Views: 364
Nimepokea taarifa muda huu kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Pombe Magufuli amekumbwa na zomeazomea jijini Mwanza!

Kama ni kweli hii siyo ishara njema kwa uchaguzi wetu mkuu ujao ambao umeambatana na matukio ya ajabu ajabu yanayosababisha simanzi!

Wadau naomba kutokana na msongo wa mambo ya simanzi yanayoukumba huu mchakato, basi tusiongeze majonzi kwa upande mmoja au mwingine wa wagombea! Tuvumiliane! Yatosha sasa!

nAONA TAPELI YERICKO UMEANDAA WATU ILI WAMZOMEE?POLE MAANA WAKATI UNAPOST RAIS JMP ALIKUWA BADO HAJATUA MWANZA,NDO KATUA SASA
 
Watu wa ccm nao wanatia chumvi kila jmbo,,,,hp ni fiesta tu wasanii lukuki wameletwa hp,,,watu wametoka magu hko na vjj vngn kuja kujz uwanja na magr ynyotumika kuwasomb watu ni ya mwita gachuma ya cocacola
 
Kwakweli Ccm Mwanza Wanatia Huruma,halafu Wanasema Watakomboa Majimbo Ya Ilemela Na Nyamagana,sijui Kwa Kura Zipi Ilhali Uwanja Umefurika Wa Kuja Toka Magu,geita Kwimba,bunda,tarime,etc
 
Back
Top Bottom