Siyo ishara njema: Magufuli azomewa Mwanza

Siyo ishara njema: Magufuli azomewa Mwanza

Mimi natabiri hivi: Kwa mara ya kwanza Tz itaingia katika duru ya pili ya uchaguzi. Oct25 hakuna mgombea atakayevuka au kufikia 50%.
 
Hata wewe ukitenga Million Moja ya Viroba unapata Fuso kama kumi za Vijana wa kuzomea Jukumu lako ni kuwaambia tu wamzomee nani! Ccm imeshamaliza kazi, Mkapa, kinana na team nzima ya watu 32 wapo maeneo ya kimkakati kwa kazi moja tu 'kuinamisha' mtungi kumtoa Panya Mtungini. Jana nimemuona Mbowe ana akili kama za Lipumba kuamini eti ukimpigia kura Lowassa itahamia kwa Magufuli kwa hiyo mkimaliza kupiga kura mkunje karatasi maandishi yawe kwa nje! Dah! Kweli Jahazi likitoboka hata Nanga unaamini itakusaida kuelea Majini
Numbers don't lie mumefinyangwa na gwiji la siasa Lowassa the coming presidaa
 
Kila mtu anakunya we kaa na mavi kwa sikukama hujafunga utumbo wacha watu wanye bwana , lakini magufuli anaisoma namba Mwanza

Kunya na kujinyea ni tofauti. Ruwasa linajinyea tena mbele za watu. Breki hazishiki buahahahaha
 
Hata wewe ukitenga Million Moja ya Viroba unapata Fuso kama kumi za Vijana wa kuzomea Jukumu lako ni kuwaambia tu wamzomee nani! Ccm imeshamaliza kazi, Mkapa, kinana na team nzima ya watu 32 wapo maeneo ya kimkakati kwa kazi moja tu 'kuinamisha' mtungi kumtoa Panya Mtungini. Jana nimemuona Mbowe ana akili kama za Lipumba kuamini eti ukimpigia kura Lowassa itahamia kwa Magufuli kwa hiyo mkimaliza kupiga kura mkunje karatasi maandishi yawe kwa nje! Dah! Kweli Jahazi likitoboka hata Nanga unaamini itakusaida kuelea Majini
mkuu hivi ulofa wa hawa jamaa unakabaliana nap kweli.

maghufuli. kwa sasa yawezekana yuko kwenye chombo cha usafiri akielekea mwanza
 
Niliandika tread humu week 2 zilizipita mod hakaifuta.juu ya Maghufuri ajiandae kuzomewa mwz.ni ngome ya UKAWA na si CCM tena.
 
Kushangiliwa na kuji nye....... Kipi bora????

Ivi kuna binadamu asiekunya nyie wanadamu? Pili hiyo taarifa ni ya kumwambia mtu amejinyie tiari vyombo vya mtandao na usalsma mwingine vipo kazini sasa endeleeni kujiachia then badae muwalaumu watu.
 
Hapa National Mpaka Dakika Hii Nimehesabu Malori 18 yamesheni raia yanaingia town
 
Naona Mabasi Ya Zakaria,malori Yanapiga Shanting,bodaboda Wote Ni Bendera Za Ccm,pale Sahara Walikuwa Wanagawa Buku 5 Na Tisheti Na Unaandikwa Jina,sasa Sijui Kutakuwa Na Kusomwa Pale Uwanjani!?Ccm Kwakweli Kwa Mwanza Hali Ngumu

Kama HAWA?,just curious!
 
Attachments

  • 1445078555999.jpg
    1445078555999.jpg
    24.3 KB · Views: 518
  • 1445078578916.jpg
    1445078578916.jpg
    22.1 KB · Views: 502
Nimepokea taarifa muda huu kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Pombe Magufuli amekumbwa na zomeazomea jijini Mwanza!

Kama ni kweli hii siyo ishara njema kwa uchaguzi wetu mkuu ujao ambao umeambatana na matukio ya ajabu ajabu yanayosababisha simanzi!

Wadau naomba kutokana na msongo wa mambo ya simanzi yanayoukumba huu mchakato, basi tusiongeze majonzi kwa upande mmoja au mwingine wa wagombea! Tuvumiliane! Yatosha sasa!

Nadhani unaanzisha uchochezi ili watu wa mwanza wamzomee Magufuli.
Ni tabia mbaya kuwatoa kafara hao watoto wa watu maana mnajitia kuwapalilia wamachinga na bodaboda kwa kuwa mnatambua wengi wao uwezo wa kufanya critical decision wakishakumbwa na mihemko ni mdogo, mnawachochea na kujitia kusympathize nao wakishambuliwa na askari ila kwa dhati kabisa mna-wa-abuse. mnawatumia tu kujengea huruma kuwa mnaonewa, kama kweli mnataka kumzomea magufuli basi mjipange wote barabarani na kila lowasa na Mbowe au hata watoto wao, or wenu.
Nadhani sasa polisi wapunguze kazi, watakaozomea au kushambulia mikutano halali ya wagombea ni ndani na kesi zao ziwe November 1 na kuendelea. walale wiki 1 ndani!
 
Mtu asikudanganye ukajinanihii bureee.kagera,geita.,mwanza,simiyu,tabora ni ccm mtupu.
 
Naona Mabasi Ya Zakaria,malori Yanapiga Shanting,bodaboda Wote Ni Bendera Za Ccm,pale Sahara Walikuwa Wanagawa Buku 5 Na Tisheti Na Unaandikwa Jina,sasa Sijui Kutakuwa Na Kusomwa Pale Uwanjani!?Ccm Kwakweli Kwa Mwanza Hali Ngumu

Ktk sehemu ambazo nina amini sisiemu iko salama ni Mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla. Mashaka yangu kwa hii miji mikubwa kwa upande wa sisiemu ni Mbeya mjini na arusha mjini, Dar ni 50-50 kwa ubunge, udiwani sisiemu wanabeba na urais JPM atachukua kura nyingi.na hapo hamna kuiba kura.
 
Numbers don't lie mumefinyangwa na gwiji la siasa Lowassa the coming presidaa

Lowassa Chadema ni second Option alianza na Ccm alipofinyangwa ndo akakimbilia huko.Kingunge anawadanganya eti hata Mwl Nyerere angehamia huko.Astaghfirullah Mwl sio Sumaye amfate mtu aliemkataa.Yaani Julius Kambarage Nyerer awe Nyumbu wa Wezi, Mafisadi walaghai, wahongaji n.k. Mama Maria awawie Radhi!
 
Pombe yupo Vingunguti kuanzia jioni ndo anakuwa Mwanza

Kama yuko vingunguti atafika saa ngap mwanza? Si alisema anatumia barabara kuzunguka nchi nzima? Msaada tafadhali
 
[Q UOTE=chamakh;14364681]Kama umeambiwa Mwanza ni CDM ila wewe ukaleta ubishi, utazomewa tu, nami nasema azomewe tu, hakuna namna maana tumechoka.[/QUOTE]
Teh teh teh mbavu zangu mie jamani pole sana pombe umekutana na magumu sana ila sio kwamba tu wanamzomea hatumpendi la khasha! Wamezidi kutuzalilishia baba kipenzi chetu asiye na maneno na Mimi naseema wazomewe tu maana akuna namna.
 
Nimepokea taarifa muda huu kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Pombe Magufuli amekumbwa na zomeazomea jijini Mwanza!

Kama ni kweli hii siyo ishara njema kwa uchaguzi wetu mkuu ujao ambao umeambatana na matukio ya ajabu ajabu yanayosababisha simanzi!

Wadau naomba kutokana na msongo wa mambo ya simanzi yanayoukumba huu mchakato, basi tusiongeze majonzi kwa upande mmoja au mwingine wa wagombea! Tuvumiliane! Yatosha sasa!

endelea hivyo hivyo kuwadanganya wenzako na kueneza propaganda ya chuki dhidi ya rais wako ajaye dr. magufuli. nadhani ungetumia muda huu unaipoteza kupiga propaganda humu jf na kwenda kumbembeleza na kumshawishi mgombea wenu edward lowassa asikimbie mdahalo wa kesho na badala yake atie timu ili watanzania waone na wagundue kati ya pumba na mchele. na kesho ndiyo siku ambayo sasa dr. magufuli anaenda kuwabadili fikra na mitazamo watanzania na hatimaye wataamua kumpigia kura zitakazomfanya awe rais. hizo saa mbili tu za mdahalo wa kesho ambao pia utarushwa live na watanzania kujionea ndizo ccm na dr. magufuli wake watakapopiga bao la kisigino na la ushindi.
 
Back
Top Bottom