Siwezi kumsamehe huyu.


pole sana msamehe na move on with ur life. looh mi wa kwangu nakumbuka alinifanyia vituko na akaniacha vibaya nakumbuka kwa hasira nilimwambia hutakaa ushike mtoto wako maishani, looh last week kanitafuta kwa email ananiambia laana yangu imeshika maana mpk sasa hana mtoto na ameshaoa na ananiomba msamaha, mi nilishasau na hata nimeshaolewa na nina watoto. nimemsamehe na ninamuombea apate mtoto. hii midomo yetu ina power sana. mi sikujua kama laana imeshika.
 
Utajiju tatizo siku hizi mkitongonzwa kidogo tu ni ndiyo mzee,mtu hata hujamfahamu vizuri mnadanywa tu,tamaa za hela hizo.Kisasi cha nini sasa anza mbele,aliekuambia ulizaliwa na yeye ni nani?
 

Usiwe mtu wa upanga kwa upanga. Muache tu dunia itamlipa kwani malipo ni hapa hapa dunia
 

Ndo nini ulichoandika badala ya kuelezea alichokutendea ili ushauriwe unalalamika na kumaliza
 
Siku hizi watu mnakuja na IDs tofauti kwa lengo la kuwachamba watu. Huyu mwanzisha mada kajiunga tarehe 24 Novemba na hii mada ndo bandiko lake la kwanza.

Sidhani kama ni mgeni huyu. Atakuwa ni wa siku zote hapa lakini hana ujasiri wa kutumia ID yake ya siku zote.

Pathetic cowardice.
 
Me alontenda nikatendeka hua ananipigia cm tunasalimia me nlikua nasema nkimnunia atajiona kaniweza ngoja niongee af ntafute mwanaume mwengine zaid yake nimkomoe lakini wapii naona nakomoka mimi yaani huaga kila akipiga cm nawaza nimfanyaje kumkomoa jibu sipat ana kitoto ananiambiaga nkamuone saitak hata kusogea nahic naeza kukadhuru buree ila ngoja tu ntakuja kujua cha kumfanya maana kila nikimuona nahisi ana rahaa tele wala hajawai jutia alichontenda basi nna duku duku balaa!
 
How was he supposed to like your personality if he didn't even like your eyebrows?

Sometimes you end up loosing yourself trying to hold onto someone who didn't care about you!

Forgive and forget.
 
Kama hakupangwa kuwa wako hawezi kuwa wako, samehe na sahau utapata bora zaidi yake.
 

inaezekana haunogi kabisaaa yaani wa baridiiiiiiiiiiiii, hautiii stimuuuu....ku do jamaaa mpaka amvutie picha beyonce, kwa nn usiachwe
 

Pole lkn punguza hasira. Huenda akaja kukufaa baadae
 

niPM nikuambie kitu
 
Utajiju tatizo siku hizi mkitongonzwa kidogo tu ni ndiyo mzee,mtu hata hujamfahamu vizuri mnadanywa tu,tamaa za hela hizo.Kisasi cha nini sasa anza mbele,aliekuambia ulizaliwa na yeye ni nani?

nitumie namba yako PM nikutigo pesa , umeongea point sana
 

duh bibi.com utakuwa mchawi si bure
 

Mmh una tu ukweli, akiisoma hii itamsaidia
 


Usijiumize moyo bure dada. Si lazima yeye akupende wewe, alikutupa kwa sababu aliona humfai sasa visasi vya nini?
 
Msamehe bure ili uwe uhuru. Utapata mwingine atakayekupenda kuliko hata huyo baba Japhet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…