Siwezi kumsamehe huyu.

Siwezi kumsamehe huyu.

Yamekuwa hayo tena ya kulipiza kisasi!? Naona tindikali au bistola inahusika hapa!!!! Dah!!! angalia usije kuishia lupango maisha.



Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.Nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.
 
Last edited by a moderator:
mweee na wewe husemwi toka uwolewe umenisusa wewe.misss u sana hujambo lakini kaka kipenzi
Hahahahaaaaaaa
We mdaku dada lol
Mie mzima kabisa mwaya..niko full sana tu naendelea kumpa raha wifi yako Chocs siunajua ndoa yetu ndo kwanza ina miezi kadhaa so hapa full maraha.

BTW Nakumiss kiukweli sema tu mambo mengi!
 
Last edited by a moderator:
Mahusiano mengine ni ya kujifunza ili kupata uzoefu kuelekea kupata Mwenzi aliye sahihi.
Kuwa na moyo wa kusamehe na hakika utampata aliyesahihi.
 
Unless unaeleza kisa chenyewe kwa thread hii unaonekana chizi tu na wonder ulitoswa !! Females wengine ni majanga tupu unamtoa mashenzini na kumtoa tongotongo akifika mujini akajua namna ya kujipaka shanti badala ya mawese, ukamnunulia thongs badala ya bukta alizozoea anaanza kuota pembe na kujifanya yeye ni mvumbuzi wa ukomboti !!
 
Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.
Funguka kakutenda nini?
 
Kwakweli inabidi asamehe tu coz mwisho wa siku lazima maisha yaendelee


Tena nimemmiss sana dada yangu Nivea

Hivi mumy hii mvua huioni tu?
Mbona hali ya hewa inanikwaza sana Chocs wangu!
Halafu mwambie huyu mtoa mada atulie...maisha ni kupanga..na kupanga ni kuchagua!
Asamehe aendelee na maisha otherwise ataishi kwa shida wakati akisamehe atakuwa na amani!

Nahitaji zaidi joto lako msimu kama huu my bby!

Si unajua tena...!
 
Usinogewe sana ukasahau ndugu zako bby

Mjini hapa!!

Love u sana my Erickb52

Hahahahaaaaaaa
We mdaku dada lol
Mie mzima kabisa mwaya..niko full sana tu naendelea kumpa raha wifi yako Chocs siunajua ndoa yetu ndo kwanza ina miezi kadhaa so hapa full maraha.

BTW Nakumiss kiukweli sema tu mambo mengi!
 
Last edited by a moderator:
Maisha ya visasi vya ndoa yamepitwa na wakati,jipange upya tafuta mwingine muanze maisha mapya.
 
dada Kuna njia mbili za kumove on either you forgive and forget or revenge then you move on my dia!kama umeamua hyo uliyoamua nayo sawa tu!
 
dada Kuna njia mbili za kumove on either you forgive and forget or revenge then you move on my dia!kama umeamua hyo uliyoamua nayo sawa tu!

Mmh section b ya ushauri wako sio njema!
Samehe endelea mbele
 
Sidhani kama kutosamehe ni jambo zuri mana hapa kila mu kapitia mambo meng zaid ya wewe uliopitia lakini kaweza kusamehe na maisha yanasonga mbele kama Mwenyezi Mungu alivopanga,mtugemee Mungu katika kila jambo na utaona kumbe maisha sio magumu kama tunavodhania.

Stay safe and blessed
 
Back
Top Bottom