Nitalipiza kisasi kwa kitu kingine na sio mapenzi, mapenzi ni yakuumia leo kesho unapona maisha yanaendelea, na nikiachana na mtu huwa sitaki bifu nae tukikutana tunasalimiana kama kuna dili lolote tunapeana,. kuachana na mtu sio muwe maadui. mimi tukiachana nakugeuza kuwa rafiki sijali umenifanyia nini, ulinifanyia nini najua yote yaliletelezwa na mapenzi tusingekuwa wapenzi katu usingenifanyia hayo uliyonifanyia.


well saidua marinda huyopole sana ila amekufundisha upande mwingine wa maisha ulivyo.
Babu yangu aliwahi kuniambia kuwa chuki umuumiza sana anayoiweka kuliko yule anayochukiwa. Mwenzako yuko na familia yake huko wana enjoy maisha wewe unaongeza vidonda vya tumbo na stress kwa kutosamehe. Samehe na sahau maisha mafupi haya kuwekeana visasi.Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.Nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.
Pepo la kisasi SHINDWAAAAAAAAAAAAHuyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.Nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.