Siwezi kumsamehe huyu.

Siwezi kumsamehe huyu.

Amekusababisha uwe na chuki kwa wanaume wote??!!

Akiwemo mzazi wako wa kiume???
 
Pole sana mpendwa,ila hiyo ya kulipiza kisasi haitasaidia kurudisha furaha yako hata siku 1,zaidi sana utaongeza uzito na uchungu katika moyo wako. Kila mwanamke ana historia ya kuumizwa kimapenzi,hawa wanaume wana visa na maudhi mengi tu lakini yatupasa kuwasamehe na maisha yaendelee. Cha msingi amua kusamehe kiroho safi na usikubali kukumbatia kinyongo chochote ili ufurahie maisha. Mwombe Mungu akupe mume mwema ili ujue tamu yakupenda na kupendwa. Haijalishi umeumizwa mara ngapi muhimu ni kuamini wanaume wazuri wanaojitambua wapo,japo inachukua muda kumpata yule wa furaha yako.
 
Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.Nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.

...dada hukumsikia jana JK, akisema tujifunze kusamehe kama Mzee Mandela alivyofanya?....
Kwanini nawe usimsamehe huyo Mwanamume?

 
Hasira za nini dada????? kitumbua tulipewa tugawe tena bure kabisaaaaa!!!!!!!!!! usipende fadhila dada....

Nimekupenda bure.. I mean
5star ost.jpg
 
napita.nitarudi badae kupata updates, ulimfanya nini.
 
hiviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii naomba kuuliza MAPENZI NI FADHILA??? Kaizer, snowhite nijibuni jamani

TATIZO WATU wanayachukulia mapenzinyaloisha kama hitler alivyokuwa anawaona wayahudi vile
KWANI keeeesiiiiiii !
af mi mtu akiwa analia lia hivi kwa kuwa ameachwa namuona namna anavyozidi kumpa kichwa huyo aliyemuacha!
IT JUST DIDNT WORK move on!
Aaargh
umia kidogo th songa mbele!
kwani lazimaaaaaaaaaaaaaaaaaa?
SASA MTU UMEJIKALIA HUKO UNAAPA VIAPO VYOTE MWENZIO KASHAOA!KASHAZAA!ANAJILIA MARUTAMU TU alikohata hajui maskini unahangaika!
unabaki kuacha kuchukua fursa za mabebs waliokaribu yako!
kyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!naskia hasira miiiiiiimi!
mwali kwanza hebu nigambire nakuona wapi unipe novel zangu!eeenh zangu kwani hujasikia?
 
Jichunguze mwenyewe mwanamke gani mwenye mihasira hivi? Tabia hii imemfanya akukimbie kama hujui!
Haiba ya kike ni upole, utu wema, uvumilivu, akili na maarifa bibi wee!
Tulizana rudisha smile kwenye uso wako, fanya kazi kwa bidii, boresha maisha yako uwe mwanamke mfano wa kuigwa! Atakuja tuu Mr. Right wako!
 
genye zinakusumbua tafuta mwanaume akutie kisawasawa. utamsahau huyo aliyeoa

AHAHAAHHAHAHHA AHAHAHAHHAH hujantendea haki blaine
na mvua hiii maneno kama haya sio mazuri ujue!lol!
 
TATIZO WATU wanayachukulia mapenzinyaloisha kama hitler alivyokuwa anawaona wayahudi vile
KWANI keeeesiiiiiii !
af mi mtu akiwa analia lia hivi kwa kuwa ameachwa namuona namna anavyozidi kumpa kichwa huyo aliyemuacha!
IT JUST DIDNT WORK move on!
Aaargh
umia kidogo th songa mbele!
kwani lazimaaaaaaaaaaaaaaaaaa?
SASA MTU UMEJIKALIA HUKO UNAAPA VIAPO VYOTE MWENZIO KASHAOA!KASHAZAA!ANAJILIA MARUTAMU TU alikohata hajui maskini unahangaika!
unabaki kuacha kuchukua fursa za mabebs waliokaribu yako!
kyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!naskia hasira miiiiiiimi!
mwali kwanza hebu nigambire nakuona wapi unipe novel zangu!eeenh zangu kwani hujasikia?
heheheheeheh tatizo watu wanajitoa sana kwenye huu uchumba bila kuzisoma alama za nyakati bana sasa utaacha kulia ???sasa uchumba tu mtu anampa mitandao yoote akikuacha utaacha lipa kisasi ukikumbukia hahaahahahah aisee
 
Back
Top Bottom