Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,202
- 99,941
Hebu sikiliza huu wimbo wa Bahati Bukuku, anasema ni Lazima Usamehe Ili MUNGU akuinue.......
BAHATI BUKUKU - LAZIMA USAMEHE - YouTube

huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.
nipo UKEREWE NJOO ,UMEJIANDAA VYA KUTOSHA.
WEWE SI ULINIZINGUA?
WANAUME HUWA HATU CHULIWI.
MWANANGU ANAITWA JAPHETI.
Pole sana
Alikufanyia nini hicho?
yaani umejiunga jf kwa ajili ya kuweka ujumbe huu tu..alikula mini kabang nini?au umesikia kuwa ni mwanachama wa jf?
Pole sana ndim usipende kulipiza kisasi
Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.Nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.