Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Duuh!! Hii kali 😉
Hahaaaaaaa...kali lakini haileweshi
Duuh!! Hii kali 😉
Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.Nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.
acha utoto wewe, maisha ndivyo yalivyo, hata ukimuua au kumsababishia kilema haitakusaidiaHuyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.Nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.
Alafu unajiita thinker!!! Kwani umelazimiswa kuchangia!!??genye zinakusumbua tafuta mwanaume akutie kisawasawa. utamsahau huyo aliyeoa
duh bibi.com utakuwa mchawi si bure
Pole sana
Alikufanyia nini hicho?
Alafu unajiita thinker!!! Kwani umelazimiswa kuchangia!!??
Tena nimemmiss sana dada yangu Nivea
Hivi siku hizi JF imekuwa ni FB ya post personal issues???
Haya endelea kumtafuta mbaya wako.
Kama anaye mkuu maana anaonekana ana hasira nanyi!!!If your current boyfriend is reading this, you might face another depression...