Siwezi kumsamehe huyu.

Siwezi kumsamehe huyu.

Umeipenda eeh?
Imekuwepo mda mrefu sana hiyo.
We unadhani hizi hekima zinazomwagika hapa zinatoka wapi?
Tehe tehe tehe tehe tehe

Si unajua tena umuhimu wa mtu unaonekana mtu akishatoweka

Tutamkumbuka daima
 
AAAAAAHHHHHHH, mama meneja!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! wacha we:smile-big::smile-big::smile-big:

Pole mummy,..hasira itakuumiza,jichanganye na watu,get urself another man(uwe careful ths tym),fanya maendleo binafsi kw ujumla,there is no better revenge than happily moving on,sio rahisi aisee,bt mi nimetoka huko ndo mana nakupa ushuhuda,kinachofuata ni meneja mmoja hvi naona kashaanza kujileta,he's way better than my x
 
Kubali matokeo kutoka moyon mwako kila kitu kitakuwa sawa
 
Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.Nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.

Hv ushawahi kujiuliza kma umekosea wangapi na mangapi kwa watu je wangekulipia hayo yote ungekuwepo kwny uso huu wa dunia?
Tupo kwa ajili ya kukosea na tupo kwa ajili ya kusamehe
 
Balaa............... Labda yupo humu...............
 
Nitalipiza kisasi kwa kitu kingine na sio mapenzi, mapenzi ni yakuumia leo kesho unapona maisha yanaendelea, na nikiachana na mtu huwa sitaki bifu nae tukikutana tunasalimiana kama kuna dili lolote tunapeana,. kuachana na mtu sio muwe maadui. mimi tukiachana nakugeuza kuwa rafiki sijali umenifanyia nini, ulinifanyia nini najua yote yaliletelezwa na mapenzi tusingekuwa wapenzi katu usingenifanyia hayo uliyonifanyia.
 
Msamehe ipo siku nawe yatakukuta maisha bado tunasonga mbere,msamehe leo usamehewe kesho sawa
 
Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.Nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.

Alikusoma akajua wewe ni mtu wa kulipiza kisasi, akajisogeza. Sidhani hii post umeiandika kwa bahati mbaya, ndivyo tabia yako ilivyo. Jifunze kutoka sasa, kwani utazeeka ukihudhuria harusi za mashosti zako!
 
sio kila mahusiano yameandikwa yafikie ndoa fanya yako hujazaliwa nae na hautakufa nae au na wewe unatokea kule kwa kina massawe na kimario?
 
Nitalipiza kisasi kwa kitu kingine na sio mapenzi, mapenzi ni yakuumia leo kesho unapona maisha yanaendelea, na nikiachana na mtu huwa sitaki bifu nae tukikutana tunasalimiana kama kuna dili lolote tunapeana,. kuachana na mtu sio muwe maadui. mimi tukiachana nakugeuza kuwa rafiki sijali umenifanyia nini, ulinifanyia nini najua yote yaliletelezwa na mapenzi tusingekuwa wapenzi katu usingenifanyia hayo uliyonifanyia.

Dah umeongea point sana aisee!!
 
Dah umeongea point sana aisee!!
Unajua kuna kitu huwa hatukijui, ukikubali kupendwa kubali na kuchukiwa, ukikubali kupenda kubali na kuchukia, ukiingia kwenye uhusiano expect na visivyotarajiwa. na unaweza ukawa wewe ndo mwenye matatizo lakini ukawa unamlaumu mwenzio, kamwe sitalipiza kisasi wala sitamchukia mtu kuhusu mapenzi. Utalipiza kisasi kwa wangapi?
 
Vigezo
Awe mkristo
Awe mkweli
Umri 20-25
Elimu ,diploma kuendelea
Tuwasiliane ,0766180099,0684320400,davydmtemy@g mail.com
Hekima na busara kwangu ni muhim katika maisha
 
Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.Nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.

Usiwe na uchungu kihivyo, pengine mwenzako alishakuona kuwa humfai kuwa mkewe na ndiyo maana akakuacha. Masuala mengi nyine kina dada mna sababisha wenyewe kama vile kujuana tu na jamaa utataka akununulie gari na kukupangia jumba la kifahari pamoja na kumfirisi hata kabla hamjajuana vizuri, unafikiri mwanamme mwenye akili timamu atakubali haya? Jipange upya na hizo hasira za kulipiziana uziache tu.
 
Back
Top Bottom