Siwezi kumsamehe huyu.

Siwezi kumsamehe huyu.

Kwani amekwambia amejificha humu? Status za fb hizo au unataka tukusaidie kumtafuta?
 
afadhali nimekuona Lovebird maana staki kabisa kusumbua kichwa changu.
 
Last edited by a moderator:
Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.Nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.

Acha ujinga utagharamika sana. Sasa nikwambie akijua kuwa umesema hivi utawajibika kwa kila kitakacho mtokea yeye na familia yake. Foolish!!
 
Ndio maana alikuacha, mwanamke mgomvi hivi unategemea uishi na nani? Bora jamaa kawahi kwenda kuoa kwingine, sasa unatoa vitisho angalia sana binti, unaweza ukadhani jamaa ni mjinga ukaenda kumchokonoa ukajikuta unajutia, utafanyiwa kitu kibaya siku moja, usipende ugomvi, mwisho wa siku hata ukimuumiza ukamkomoa, haitokuongezea kitu, haitokupa mume mwema, haitokupa hela, haitokuongezea chochote zaidi ya kukuongezea adui moja duniani, unaonwengi wanaokuchukia uongeze moja tena? hahaha Kichwa chako hakifikirii mbali mdada wa kibongo, nasikitika maana tyr tumepoteza nguvu kazi moja ya taifa...
 
hapa ni mahali pa kushauriana pia, so kama hupendi kuona personal issues sijui itakuwaje? labda uende kule 'sihasani'
Hivi siku hizi JF imekuwa ni FB ya post personal issues???

Haya endelea kumtafuta mbaya wako.
 
Halafu?
Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.Nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.
 
Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.Nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.

Watoto mliozaliwa utawala wa JK bwana... hata adabu hamna..post ya kwanza utumbo! Kwani hukufundishwa kusalimu? Hata msalani si ni lazima ubishe hodi?
 
Mwaya Ndim huyo achana nae........kwanza sio type yako.......you deserve better than him.........samehe ili na wewe unapomuomba Mungu akusamehe inakuwa rahisi........usipende kubeba mizigo rohoni isiyokuwa na faida......hebu achilia uone maisha yatakavyokuwa marahisi.......kuna wanaume wengi sana wazuri.......nini huyo bana.......
 
Last edited by a moderator:
Dada thread ya kwanza tu na kisasi, kulikoni?
Kisasi ni cha Mungu wala hupaswi kulipiza mamangu, muombe Mungu tu, sisi tumeagiza kusamehe tu
refer pia hotuba ya jana ya JK

Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.Nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.
 
Hasira za nini dada????? kitumbua tulipewa tugawe tena bure kabisaaaaa!!!!!!!!!! usipende fadhila dada....
 
Dr unafanya masihara eeh.........hivi hujui mwenzio ana hasira.......

Dr huyu angelikuwa na hasira hata asingeweza kuandika hapa....

Hii mikwara tu ili tumuone kakasirika kumbe anamtishia nyau samaki
 
Duuuuuuuu!!!!!!!!!!!pole ila kaa ukijua kuwa baadhi ya mahusiano ni kama majaribio yanayokuandaa na Necta ya maisha.
 
pole sana inawezekana kuna kitu Mungu alikuepushia ....mshukuru Mungu
 
Back
Top Bottom