Siwezi kufanya Mchezo huu hata kidogo!

Siwezi kufanya Mchezo huu hata kidogo!

1. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kufanya biashara zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti nifunge biashara zangu kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuropoka Bungeni?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

2. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kumwagilia bustani zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti niache kazi hizo na kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuzomea Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

3.Badala ya kutafuta Ada za watoto wangu ili wajitegemee baadaye, eti niende kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kusema uwongo Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

Kama ni Maandamano watangulie hao Viongozi wetu ili wawe wa kwanza kukung'utwa na kupewa vilema. Mimi motto wa Masikini sitathubutu ng'o!! AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO. ASANTE SANA MZEE JK!! NITAZINGATIA BUSARA ZAKO!
Katafute ridhiki kiongozi, nipate muda wa kustarehe na Mkeo [emoji23] ... Jana aliniletea spinach toka bustanini kwenu
 
1. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kufanya biashara zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti nifunge biashara zangu kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuropoka Bungeni?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

2. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kumwagilia bustani zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti niache kazi hizo na kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuzomea Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

3.Badala ya kutafuta Ada za watoto wangu ili wajitegemee baadaye, eti niende kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kusema uwongo Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

Kama ni Maandamano watangulie hao Viongozi wetu ili wawe wa kwanza kukung'utwa na kupewa vilema. Mimi motto wa Masikini sitathubutu ng'o!! AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO. ASANTE SANA MZEE JK!! NITAZINGATIA BUSARA ZAKO!
Hizo akili zako ongeza na tope kabsa aysee...!! Maisha ni harakati.....wewe inaonekana wakitokea majambazi kwako utaacha waku*** mpaka uny* kisa et unaogopa kichapo....mwoga ka kuku kutetea Misimamo na Uhuru wako!!
Pita kushoto ukakae waoga wenzio, Maandamano tuachie WANAUME wanaharakati tusiopenda kupelekwa pelekwa na Uonevu!!
 
1. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kufanya biashara zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti nifunge biashara zangu kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuropoka Bungeni?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

2. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kumwagilia bustani zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti niache kazi hizo na kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuzomea Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

3.Badala ya kutafuta Ada za watoto wangu ili wajitegemee baadaye, eti niende kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kusema uwongo Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

Kama ni Maandamano watangulie hao Viongozi wetu ili wawe wa kwanza kukung'utwa na kupewa vilema. Mimi motto wa Masikini sitathubutu ng'o!! AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO. ASANTE SANA MZEE JK!! NITAZINGATIA BUSARA ZAKO!

Bila Chadema Imara huyo Magufuli asingepita urais.
 
Kwahiyo unatuambia ili iweje?
Story za kijinga hivi muwe mnawaambia wake zenu huko.
Ha ha ha ha ha haaaa! You nailed it, it's like you was on my mind.. mjinga sana, mambo ya kujadiliana na familia yake Anayaleta huku!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom