Siwezi kufanya Mchezo huu hata kidogo!

Siwezi kufanya Mchezo huu hata kidogo!

Gangongine

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,854
Reaction score
1,776
1. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kufanya biashara zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti nifunge biashara zangu kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuropoka Bungeni?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

2. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kumwagilia bustani zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti niache kazi hizo na kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuzomea Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

3.Badala ya kutafuta Ada za watoto wangu ili wajitegemee baadaye, eti niende kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kusema uwongo Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

Kama ni Maandamano watangulie hao Viongozi wetu ili wawe wa kwanza kukung'utwa na kupewa vilema. Mimi motto wa Masikini sitathubutu ng'o!! AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO. ASANTE SANA MZEE JK!! NITAZINGATIA BUSARA ZAKO!
 
Well said. ...
 
Wahi posho Lumumba umeshafanya kazi uliyotumwa ya UKUTA hayakuhusu.
Tuache tunaoelewa umuhimu wa UKUTA tufanye yetu tarehe 1.
 
1. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kufanya biashara zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti nifunge biashara zangu kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuropoka Bungeni?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

2. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kumwagilia bustani zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti niache kazi hizo na kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuzomea Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

3.Badala ya kutafuta Ada za watoto wangu ili wajitegemee baadaye, eti niende kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kusema uwongo Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

Kama ni Maandamano watangulie hao Viongozi wetu ili wawe wa kwanza kukung'utwa na kupewa vilema. Mimi motto wa Masikini sitathubutu ng'o!! AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO. ASANTE SANA MZEE JK!! NITAZINGATIA BUSARA ZAKO!
Kupanga ni kuchagua, we hata ukitaka kula chura wakati wenzio wako kwenye ukuta - ruksa!
 
Umependa kutukanwa rafiki, muda huu ktk mipango ya chadema hupaswi kuanzisha uzi ulio kinyume na mipango yao!
 
Hayo ni maamuzi yangu binafsi.

Nifah;
Very well said dada. Na kama huendi sio kuja kuandika humu jf. Wanaoandika hayo humu jf ni wale wanaokwenda kujionesha jioni lumumba wapate buku 7 yao. Pole zenu. Jasiri hasumbuliwi na sauti nje ya mlango
 
Badala ya kuandika ujinga kuhusu Ukuta ujiulize umelifanyia nini taifa hili,au ndo moja ya Mizigo ambayo hata serikali hainufaiki na uwepo wako, UKUTA ni mpango mkakati wa kuwatoa watanzania kwenye giza na kuwapeleka kwenye nuru,hakika TZ inapaswa kujivunia kuwa na chama kinachojielewa kama CHADEMA pamoja na CUF
 
1. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kufanya biashara zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti nifunge biashara zangu kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuropoka Bungeni?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

2. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kumwagilia bustani zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti niache kazi hizo na kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuzomea Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

3.Badala ya kutafuta Ada za watoto wangu ili wajitegemee baadaye, eti niende kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kusema uwongo Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

Kama ni Maandamano watangulie hao Viongozi wetu ili wawe wa kwanza kukung'utwa na kupewa vilema. Mimi motto wa Masikini sitathubutu ng'o!! AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO. ASANTE SANA MZEE JK!! NITAZINGATIA BUSARA ZAKO!
Muda uliotumia kuandika hizi takataka nadhani ungekuwa umeishamaliza kumwagilia hizo bustani zako hewa....pungezeni mineno jmn...m.haukuambiwa uende dodoma ......
 
Mid
Muda uliotumia kuandika hizi takataka nadhani ungekuwa umeishamaliza kumwagilia hizo bustani zako hewa....pungezeni mineno jmn...m.haukuambiwa uende dodoma .......kaa mtoto wa kiume kuwa na vimaneno vya kikekike ni laaana
Acheni kujipa tamaa. Hakuna MTU atakayetia fyoko kujifanya anaandamana period! Dodoma mbona mlishindwa!! Safari hii ndio mmeandaliwa mkong'oto safiiiiii!
 
1. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kufanya biashara zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti nifunge biashara zangu kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuropoka Bungeni?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

2. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kumwagilia bustani zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti niache kazi hizo na kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuzomea Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

3.Badala ya kutafuta Ada za watoto wangu ili wajitegemee baadaye, eti niende kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kusema uwongo Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

Kama ni Maandamano watangulie hao Viongozi wetu ili wawe wa kwanza kukung'utwa na kupewa vilema. Mimi motto wa Masikini sitathubutu ng'o!! AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO. ASANTE SANA MZEE JK!! NITAZINGATIA BUSARA ZAKO!
hahahahaha, bora umestuka, njoo uchukue na kadi ya CCM
 
Unaweza kuwa huko sahihi ingawa bado hujajua kwanini hasa ukawa waamue kuandaa UKUTA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom