Siwezi kufanya Mchezo huu hata kidogo!

Siwezi kufanya Mchezo huu hata kidogo!

HEBU CHECK TUTAKAVYOWAFANYA POLISI 1 SEPTEMBER
download.jpeg
 
Navyosikia vyombo vya ndani vimepigwa bit kuripoti ss kwa taarifa bbc, dw na Al-Jazeera watakuwepo kuionesha dunia.[emoji12]
 
mkuu kuna mtu amekushinikiza kuende kushiriki hayo maandamano au vipi?kuna mtu amekukataza kumwagilia hizo bstan zako ili ukashirikia maandamano? au unalalamika kitu gani hasa mkuu?
Hongera sana kwa kutumia akili alizokupa Mungu vizuri....
 
Nashindwa kumtofautisha mleta Uzi na mtu aliyeona kwa jirani wanajiandaa kuchinja kuku,ghafla mtu huyo anakimbilia barabarani na kutangazia watu kuwa hawezi kuthubutu kumla kuku yule anaechinjwa kwa jirani yake..
 
HIVI KWELI MIMI NISIUNGE MKONO UKUTA WKT DEMOKRASIA INAPONDWA MAWE WAZIWAZI NITAKUWA MGENI WA NANI?

HIVI KWELI MIMI NISIUNGE MKONO UKUTA WKT MBELE KIZA KINENE HATUJUI TUENDAKO NITAKUWA MGENI WA NANI?

HIVI KWELI NISIUNGE MKONO UKUTA WKT HAKUNA JUHUDI ZA KUFUFUA KILIMO NA KUONGEZA UZALISHAJI ILI KUINUA UCHUMI WA NCHI NITAKUWA MGENI WA NANI?

HIVI KWELI MIMI NISIUNGE MKONO UKUTA WKT MCHAKATO WA KATIBA MPYA UMETUPWA HUKO NITAKUWA MGENI WA NANI?
 
Kwahiyo unatuambia ili iweje?
Story za kijinga hivi muwe mnawaambia wake zenu huko.

Wewe mwenyewe wala hutatoka. Utakaa kwenye tv na kusubiri kuandika humu jamvini
 
Hata huo uhuru unaokuwezesha kutafuta riziki yako, na kumwagilia bustani yako umepiganiwa na watu.
Kuna watu waliacha shughuri zao kwa ajili hiyo. wewe endelea tu na mambo yako. Usisahau kuendelea kufyatua watoto kama mh alivyoagiza
 
1. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kufanya biashara zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti nifunge biashara zangu kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuropoka Bungeni?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

2. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kumwagilia bustani zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti niache kazi hizo na kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuzomea Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

3.Badala ya kutafuta Ada za watoto wangu ili wajitegemee baadaye, eti niende kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kusema uwongo Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

Kama ni Maandamano watangulie hao Viongozi wetu ili wawe wa kwanza kukung'utwa na kupewa vilema. Mimi motto wa Masikini sitathubutu ng'o!! AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO. ASANTE SANA MZEE JK!! NITAZINGATIA BUSARA ZAKO!

Kwani kuna mtu alikuja kukugongea mlango nyumbani kwako ukaandamane? Suala hilo ni utashi wa kila anayeona kuwa kuna umuhimu wa kuzuaia udikteta katika taifa letu, wewe kama hilo halijakugusa endelea na hamsini zako. Na kwa wenye mtindio wa ubongo na akili mgando wataendelea kushabikia udikteta.
 
Mkuu hongera kwa kujitambua na kujitenga na nyumbu, ila kuna wale wengine wafuata mkumbo, wacha tu watiririke mto mara waliwe na mamba. Hii ni miradi ya watu na inawanufaisha wao. hakuna faida yoyote kwa wananchi kama wanavyotaka tuamini.
 
HIVI KWELI MIMI NISIUNGE MKONO UKUTA WKT DEMOKRASIA INAPONDWA MAWE WAZIWAZI NITAKUWA MGENI WA NANI?

HIVI KWELI MIMI NISIUNGE MKONO UKUTA WKT MBELE KIZA KINENE HATUJUI TUENDAKO NITAKUWA MGENI WA NANI?

HIVI KWELI NISIUNGE MKONO UKUTA WKT HAKUNA JUHUDI ZA KUFUFUA KILIMO NA KUONGEZA UZALISHAJI ILI KUINUA UCHUMI WA NCHI NITAKUWA MGENI WA NANI?

HIVI KWELI MIMI NISIUNGE MKONO UKUTA WKT MCHAKATO WA KATIBA MPYA UMETUPWA HUKO NITAKUWA MGENI WA NANI?
JPM ndio kwanza Bajeti take ina mwezi mmoja. Kwa nini umhukumu mapema hivyo!! Acha ujinga!!
Wewe mwenyewe wala hutatoka. Utakaa kwenye tv na kusubiri kuandika humu jamvini
 
jipe matumaini tu lakini najua hakuna atakayethubutu kuandamana

Kuku na nguruwe walipanga kuanzisha biashara ya mgahawa. Nguruwe akamuuliza kuku mgahawa wetu tuuze nini. Kuku akajibu eggs and bacon. Nguruwe akawa kaingia mkenge na inabidi acommit kwenye hiyo biashara. Inabidi nguruwe apoteze maisha ili biashara iendelee , kuku ye atataga tu na kula faida.

Sasa kwenye ukuta nani nguruwe na nani kuku.
 
Hata huo uhuru unaokuwezesha kutafuta riziki yako, na kumwagilia bustani yako umepiganiwa na watu.
Kuna watu waliacha shughuri zao kwa ajili hiyo. wewe endelea tu na mambo yako. Usisahau kuendelea kufyatua watoto kama mh alivyoagiza
Nenda DRC na South Sudan ndio utajua una Uhuru mpaka unajamba jamba ovyo na kukosa heshima kwa Serikali yako! Inaonekana hata wazazi wako huwaheshimu wewe!
 
Kwahiyo unatuambia ili iweje?
Story za kijinga hivi muwe mnawaambia wake zenu huko.
Kamanda na wewe uta andamana? Umeshachukua zile T-shirt na kofia za kuzuia mabomu na virungu? Hahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom