Siwezi kufanya Mchezo huu hata kidogo!

Siwezi kufanya Mchezo huu hata kidogo!

ulieandika huu uzi baada ya kuusoma nimegundua yafuatayo kutoka kwako
1.umetumia siku tatu kutunga huu uzi ili angalau ulete maana ila umeshindwa
2.unaonekana mmbeya maana umezungumza linalokukereketa ambalo sisi halituhusu na wala hiyo operesheni ukuta haikuhusu pia
3.umejaribu kuwaaminisha watu kuwa wewe mwerevu na una busara wakati wewe ni bure kabisa(0)
4.unakula na kulala kwa wazazi wako na wala huna familia ila unajishaua
5.wewe ni walumumba ila unazunguka
6.akili zako ni kma vile zidumu fikira za mwenyekiti........na mengine mengi
''usiishi kwa mizuka na matukio''
 
Badala ya kuandika ujinga kuhusu Ukuta ujiulize umelifanyia nini taifa hili,au ndo moja ya Mizigo ambayo hata serikali hainufaiki na uwepo wako, UKUTA ni mpango mkakati wa kuwatoa watanzania kwenye giza na kuwapeleka kwenye nuru,hakika TZ inapaswa kujivunia kuwa na chama kinachojielewa kama CHADEMA pamoja na CUF
Mbatia upo?Kwa mujibu wa huyu chagadrma ww ni mburu.l.a tu,hujielewi.
 
ulieandika huu uzi baada ya kuusoma nimegundua yafuatayo kutoka kwako
1.umetumia siku tatu kutunga huu uzi ili angalau ulete maana ila umeshindwa
2.unaonekana mmbeya maana umezungumza linalokukereketa ambalo sisi halituhusu na wala hiyo operesheni ukuta haikuhusu pia
3.umejaribu kuwaaminisha watu kuwa wewe mwerevu na una busara wakati wewe ni bure kabisa(0)
4.unakula na kulala kwa wazazi wako na wala huna familia ila unajishaua
5.wewe ni walumumba ila unazunguka
6.akili zako ni kma vile zidumu fikira za mwenyekiti........na mengine mengi
''usiishi kwa mizuka na matukio''
Hata uandishi wako tu unamfanya uliyemtuhumu aonekane ni bora kuliko ww.Kuhusu sijui ukuta,tambua,zana za kuubomoa zipo kwa hao usio wapenda.Sasa sijui umejipangaje.Kwani,wanao uwezo wa kukugeuza watakavyo.
 
Kupanga ni kuchagua, we hata ukitaka kula chura wakati wenzio wako kwenye ukuta - ruksa!
Wahi posho Lumumba umeshafanya kazi uliyotumwa ya UKUTA hayakuhusu.
Tuache tunaoelewa umuhimu wa UKUTA tufanye yetu tarehe 1.
Huna lolote!Eti ufanye yako hiyo tarehe,thubutu uone!Usio wapenda ndiyo wenye zana za kuboma hizo kuta.Kwa maana nyingine,wanao uwezo wa kukugeuza watakavyo.
 
Hivi kweli kuna kiumbe anakutaja MUME WANGU na wengine BABA na akili hizi ndogo kiasi hiki ?? Oo salale RIP Nyapi nyapi
 
Hamna Mtz wa kawaida atakaye andamana
Mbowe kaisha shindwa
Aandamane yy,Msigwa na Lissu na familia zao
Kuteuliwa ateuliwa Devota Minja ambaye wala hakuwa CHADEMA kabla ya Oktona 2015
Lkn kuandamana niadamane mm?
Upuuzi mtupu
 
Kwahiyo unatuambia ili iweje?
Story za kijinga hivi muwe mnawaambia wake zenu huko.
Dada huyo mwenyewe ni MKE wa mtu huyo,hata anayoyaandika huwa hayafanyi katika hali ya kawaida,ni mama wa nyumbani ambae ni kula kulala.
 
1. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kufanya biashara zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti nifunge biashara zangu kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuropoka Bungeni?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

2. Badala ya kutafuta riziki yangu kwa kumwagilia bustani zangu zinazonipatia kipato na kuniwezesha kuishi, eti niache kazi hizo na kwenda kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kuzomea Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

3.Badala ya kutafuta Ada za watoto wangu ili wajitegemee baadaye, eti niende kuandamana na kigezo cha UKUTA, Nipate nini??? Kisa eti UKAWA wapate nafasi ya kusema uwongo Bungeni kwa kigezo cha Demokrasia?? Sifanyi Mzaha huo kabisa!!

Kama ni Maandamano watangulie hao Viongozi wetu ili wawe wa kwanza kukung'utwa na kupewa vilema. Mimi motto wa Masikini sitathubutu ng'o!! AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO. ASANTE SANA MZEE JK!! NITAZINGATIA BUSARA ZAKO!
Hayo ni mawazo na mtizamo wako. Ikiwa upo sahihi machoni pako is well and good. Lakini usitake kuaminisha wale wanaotaka kuandama hawana sababu na maana ya kuandamana na UKUTA wao.
 
........weweeeeee Ukuta watu watashikishwa ukuta weweee ukuta ukuta ukutaaa..au niko nje ya MADA ??
 
Sijawahi kukuona ukikasirika, kumbe unazidi kupendeza
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nifah yupogo happy muda wote,na hata nikikasirika hazizidi dakika 5.
Asante.
 
Dada huyo mwenyewe ni MKE wa mtu huyo,hata anayoyaandika huwa hayafanyi katika hali ya kawaida,ni mama wa nyumbani ambae ni kula kulala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom