Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,903
- 4,869
Ili awe shugamami inabidi akuzidi miaka mingapi?
Nijue umri wako kwanza.
Ili awe shugamami inabidi akuzidi miaka mingapi?
Kwanini unajiita AndaKava ikiwa unashindwa kutumia intelijensia yako kupata jibu la hilo swali lako?Nijue umri wako kwanza.
Ujana wao wale na vizee vyasasa alafu uzee wao wanataka kula na vijana wa wasasa mmmmmh hawaendi nawakati sisi pia tunataka ttufaidi na vijana wenzetuKulelewa at work. Ila hongera kwa kuwapa fursa vijana wenzio waenjoy kwako. Tupa kulee vibibi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Mkuu maisha ni uchaguzi ,hata uyo alokuzidi unaweza mfanya mkeo ili mradi mmeelewana.Nataka kusema kwamba nafurahia nikiwa vijana wenzangu najivunia kuwa ata unaeza kumfanya mke badae
Vyote bora mkuu inatakiwa tupendane, lakini akiwa mke wangu sitampenda najua sitodumu nae nitachepuka mpk basi itakuwa ugomvi wakijana na kibibi yanini hayo yoteSasa Mkuu maisha ni uchaguzi ,hata uyo alokuzidi unaweza mfanya mkeo ili mradi mmeelewana.
Kwan kipi bora, upendwe ? Au upende ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi ili nimuite shugamami awe amenizidi zaidi ya miaka 15 na zaidiMi kwa kuelewa wangu ili awe shugamami inabidi akuzidi kuanzia 3 nakuendelea chini ya hapo naona kama nniwakawaida tu
Inaonekana umepania kufanya jambo kwelikweli