Siwapendi ‘Sugar Mummy' lakini nina bahati ya kupendwa nao

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,527
2,000
Sugarmummy linajiachia na mibia bill ikija anakusukumia unabaki kujiuliza huyu mbona hajui wajibu wake wa kulea Wana. Mkienda Lodge unalipia, mkimaliza anataka nauli siku tena anakupigia hela ya kusuka
Wapo wenye kuitaj pesa nawapo wenye kuitaji uduma yako kitandan tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom