Siwapendi ‘Sugar Mummy' lakini nina bahati ya kupendwa nao

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
13,039
2,000
Wakuu salaam.

Tujitaidi kuosha mikono kwa maji na sabuni, kuvaa barakoa na tujiepushe kugusa uso.

Sijui ni kwanini nina bahati mbaya naeza kusema kwasababu siwapendi wanawake walionizidi umri ata mwaka mmoja sipendi tu japo sijawai kudhalilika kwahilo.

Nimewai kuwa mmahusiano na sugermamy kadhaa wakinipenda wenyewe lakini hayupo niliyedumu nae ninazingua kwasababu sijivunii kuwa nayo kama kijana nataka mwanamke type yangu ndio nafurahi.

Sugermamy hao kila mtu anatoa sababu yake kwanini mimi kwake,mmoja aliniambia mumewe yupo amridhishi akaniomba niwe namgegeda lakini sikudumu nae.

Wengi wao wanasema jinsi nilivyo na tabia yangu ya upole na ukimya wanaipenda wanaamini si mropokaji kwaiyo wanajisikia amani.

Wiki hii nimepata mwingine mwalimu wa secondary na hii corona yupo tu home ananiitaji niwe nayeye ilimradi nimueshimu tu ndio kitu anataka kila siku ananipigia simu kuniambia naenda lini kwake hajaolewa, tuliongea tukapanga niende jumapili lakini sijatokea lawama tupu moyoni na akili yangu sina hisia nao kabisa lakini nina ninabahati mbaya nao sijui nifanyaje.

Japo ni wazuri wanakila kitu hawaniitaji kuwapa kitu lakini sijivunii kuwa nao.
Wee kale papuchi hiyo.... Papuchi haisuswi kamwe.
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
13,039
2,000
eeeh kumbe iyo ni kanuni?

Tena bwana hiyo kanuni nilipewagwa na mrembo mmoja wa humu jf.... Mpaka leo natamani papuchi yake lakini hataki kunipea tena...ila namshukuru kwa hiyo kanuni aliyonipa.
 
Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,527
2,000
Tena bwana hiyo kanuni nilipewagwa na mrembo mmoja wa humu jf.... Mpaka leo natamani papuchi yake lakini hataki kunipea tena...ila namshukuru kwa hiyo kanuni aliyonipa.
Ha ha ha ha ha hatari sana mkuu kuna wimbo umenikumbusha enzi inzo tupo jando porini,ningekupa lyrics lakini ni ya matusi,lakini ujumbe wake ndio wanaimiza usibague mwanamke ata akawa papuchi yake inanukaaa kimeoza we unatakiwa ujipigie kana hujui vile
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
13,039
2,000
Ha ha ha ha ha hatari sana mkuu kuna wimbo umenikumbusha enzi inzo tupo jando porini,ningekupa lyrics lakini ni ya matusi,lakini ujumbe wake ndio wanaimiza usibague mwanamke ata akawa papuchi yake inanukaaa kimeoza we unatakiwa ujipigie kana hujui vile

Kumbe somo ulishapewa mzee mbona hutekelezi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom