Siwapendi ‘Sugar Mummy' lakini nina bahati ya kupendwa nao

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,563
3,708
Wakuu salaam.

Tujitaidi kuosha mikono kwa maji na sabuni, kuvaa barakoa na tujiepushe kugusa uso.

Sijui ni kwanini nina bahati mbaya naeza kusema kwasababu siwapendi wanawake walionizidi umri ata mwaka mmoja sipendi tu japo sijawai kudhalilika kwahilo.

Nimewai kuwa mmahusiano na sugermamy kadhaa wakinipenda wenyewe lakini hayupo niliyedumu nae ninazingua kwasababu sijivunii kuwa nayo kama kijana nataka mwanamke type yangu ndio nafurahi.

Sugermamy hao kila mtu anatoa sababu yake kwanini mimi kwake,mmoja aliniambia mumewe yupo amridhishi akaniomba niwe namgegeda lakini sikudumu nae.

Wengi wao wanasema jinsi nilivyo na tabia yangu ya upole na ukimya wanaipenda wanaamini si mropokaji kwaiyo wanajisikia amani.


Wiki hii nimepata mwingine mwalimu wa secondary na hii corona yupo tu home ananiitaji niwe nayeye ilimradi nimueshimu tu ndio kitu anataka kila siku ananipigia simu kuniambia naenda lini kwake hajaolewa, tuliongea tukapanga niende jumapili lakini sijatokea lawama tupu moyoni na akili yangu sina hisia nao kabisa lakini nina ninabahati mbaya nao sijui nifanyaje.

Japo ni wazuri wanakila kitu hawaniitaji kuwapa kitu lakini sijivunii kuwa nao.
 
Back
Top Bottom