Siwaelewi wanaume wa karne hii

Umenyimwa hela?

Povu kama lote, pole sana.
 

Aliyehack hii account airudishe chap!!
Huu mwandiko sio wa SHIMBA YA BUYENZE ,mwandiko urudiwe πŸ˜‚

Hahahahh huyo mod amekupa pumziko la siku chache tu,ratiba yake iko pale pale
 
Wanawake wanapenda wanaume weak ili wawaburuze wanavyojiskiaπŸ˜‚ ila mwanaume kamanda inakuwa ngumu kumpelekesha!

Wanaishiaga kati tu na kuvunja uhusiano nao wanataka mario wa kuwazaba vibao!
 
Ebu kila mtu kwanza atafute ela zake ukute anaekupiga kizinga cha laki 3 nae hana hata tembo wanne, inshort na yeye anashida na njaaa tu, halafu mke ndo anahudumiwa ukiwa nae ndani siyo mara mchumba sijui mpenzi sijui vitu gani ebu kila mtu ashinde mechi zake
 
Kimsingi ukishaona binti anachanganya mapenzi na pesa tambua tu unadate na muuzaji na si mtu wa kumtumainia kumfanya mke siku za usoni. Kinachobaki hapo wanaume tunapiga mbususu kutokana na gharama tunazoingia na siku tukikinai, tunanyanyua majeshi kwenda kambi nyingine sampuli kama ya awali mpaka tukutane na hapana hiyo kwanini usiiweke tu itatusaidia baadae huwezi jua ya kesho, mara mpenzi wangu una matumizi mabaya ya pesa mm sipendi siyo vizuri. Naam kwa kauli hizi sasa tunajipachika kama tatto na si stickers tena then tunafanya maisha.
 
Kwanini tusizisake wote hizo pesa from scratch. Why wait around at the finish line and not at the start of a man's race??
hawezi kukujibu mkuu huyu ni sampuli za wale wanawake hawana namna ya kuingiza pesa zaidi ya kutumia viungo vyao vya mwili. Hivyo basi si rahisi kujibu swali lako.
 
hakuna under 20 anayekuwa kamaliza chuo mkuu labda vyuo vya kati na VETA.
 
Sure mkuu,nilikosea
pamoja kaka, hawa wadada wanapenda kutuona tukiwa tumeshine tu wajilete ila ukiwa bado juani hakuna anayetaka kukujua kabisa. Na ndiyo maana nimeapa sitakuja kuoa mwanamke niliyempata wakati wa mafanikio. Nitasort tu wale wa kwenye hali ngumu lakini bado wakanipa mapenz bila shilingi
 
Yaani kaka wanatufanya kama source of income zao! Mwanamke analalamika kabisa hapewi pesa,wakati huo msela upo unapambana na maisha! Na siku mambo yamenyooka baby nyingi za hapa na pale! Wakati una pambana walikua wanakuona si kitu,si chochote!
mm kuna demu aliniambia kabisa kama huna hela usije kunitembelea daah alinifikirisha sana siku hiyo ila nikapiga moyo konde siku zikaenda, yy akautumia usichana wake vibaya maana kipindi hicho alikuwa kigoli kweli. Baada ya miaka kadhaa kupita tukakutana morogoro katika harakati za kutafuta maisha, daah huwezi amini lile umbo namba nane halipo tena yani kiuno hakieleweki kiko wapi tumbo linaanzia wapi. Uso umechunda kwa kujichubua, ziwa kama ananyonyesha watoto yatima. Kazalishwa watoto wawili basi tukabadilishana namba. Sasa sikuhizi kila muda akituma sms lazima asisitize niende kumtembelea. Basi tu sinaga roho ya visasi ila ningemjibu hovyo.
 
Eti umesema mzinga wa laki3!!!

angalia wenzako😎😎
 
Upendo gani huo wa kufanyana tu!! Huo ni upendo au uchizi
We hajui Tu simna fanyana mnaposubiria kuowana mwenzio hajakaa sawa kimaisha unamvumilia ajipange unampunguzia mizigo Sasa jamani mnataka tutafute hela tutafute mke tutafute Malaya wakupunguziana tamaa. Bado tuwape hela Malaya tusave kwaajili ya kesho. Tutafika kweli!!? Wanawake sisi wanaume sio wagumu kiasi hicho sisi tunahitaji ndoa zaidi hata ya nyinyi
Upendo gani huo wa kufanyana tu!! Huo ni upendo au uchizi[emoji2297][emoji2297]
 
Kwa hiyo asipokuwa na mahusiano na pesa afe na utamu wake?πŸ˜‚
Mkibania sana huo utamu nyegezi zikizidi mnapata ule ugonjwa wa kuchekacheka,hapo Baharia yoyote atakayekuwa karibu,Tunda linamuangukia anajilia tu kimasihara.

Mwisho wa siku utatoa tu,wengine watakula kwa hela na wengine bure kabisa.
Hakuna atakaye kufa na utamu!
 
Wewe ni MWIZI! Huna hata aibu unalalamikia kupewa fedha juu ya mapenzi!!? Yaani kweli unautweza utu wako, maumbile yako kwa money exchange!!?
 
Mabaharia kama huna hela kama mimi jitahidi mara chache upendeze tuwachakate hawa wajinga wanaopenda hela
Mimi nazichakata sana nikipiga pamba zangu za kipindi nipo chuo mfukoni nna jero tuu wanajigonga gonga wanakuja kustuka nimemlia outdoor na condom ya serikali(Cupid) na hela hajapata anaishia kutukana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…