Siwachukii Gen Z, sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono ni kwasababu harakati zao zina viashiria vya kupoteza maisha

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,541
Reaction score
916
Siwachukii Gen Z, sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono ni kwasababu harakati zao zina viashiria vya kupoteza maisha

Napenda vijana waishi na sio wafe

Na hii ndiyo sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono

Nikiwaunga mkono nitakuwa nimewatuma shimoni jambo ambalo litaniingiza kwenye kesi ya mauwaji

Kawaida mtu anayewatuma watu kwenye kifo ndiye muuwaji

Hata katika imani ya binadamu huwa muuaji ni yule anayetuma watu kwenye shimo na sio lile shimo liliwaua

Lakini vilevile nafahamu gharama ya jambo wanalolifanya inawezekana wao hawajui

Vilevile kuna udhaifu mkubwa sana wa kundi hili unaonifanya kamwe nisiamini kama wataweza mfano uvunjifu wa Katiba na Sheria jambo ambalo litawaongezea matatizo wanapokuwa wakitatua matatizo

Badala ya kumaliza matatizo matokeo yake wanakua wakiongeza matatizo
 
hakuna atakae ishi milele,,, alf GEN_Z sio wajinga kiasi kwamba wanapata mahitaji muhimu ikiwemo ajira na huduma safi za kijamii na bado watoke barabarani, hiyo ni big no brooo,,,, watu wamechoshwa kuzaliwa maskini na kufa maskini na ukiangalia kuna watu wameficha mabilioni ya fedha
Sisi tulikua tunahitaji msukumo tu ndani yetu ndo maana saivi unatuona barabarani we endelea kujifungia ndani kama panya ipo siku tu,,,
Anyway nipo njiani naenda kuwaunga wenzangu mkono see you next life 🤛👋
 
Nitawatafutia njia nzuri ya mazungumzo ya amani wasiogope, wapunguze jazba
 
Wew jamaa unaanzisha nyuzi 200 ndani ya siku.

Hauko sawa kiakili
Kuna kundi limesambazwa mtandaoni kwa kupewa maelekezo ya kutetea kila kitu na wanalipwa elfu 7 kwa siku. Huyu mtoa mada ni mmoja wao.

Bila shaka user name zao zinatakiwa kujulikana na waliowatuma ili waweze kuangaliwa kama wanafanya kazi.
 
Tangu mambo haya yaanze sijawahi kumshawishi mtu yeyote aandamane, nilikataa tangu mwanzo, siwezi kushawishi Watanzania wakapoteze maisha au kujeruhiwa
Unadhani huo ushawishi unao??
 
Kuna kundi limesambazwa mtandaoni kwa kupewa maelekezo ya kutetea kila kitu na wanalipwa elfu 7 kwa siku. Huyu mtoa mada ni mmoja wao.

Bila shaka user name zao zinatakiwa kujulikana na waliowatuma ili waweze kuangaliwa kama wanafanya kazi.
Hapana boss sijawahikupewa hiyo kazi huwa napenda siasa ila kwenye ukweli ninaposema naonekana kama natetea
 
Siwachukii Gen Z, sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono ni kwasababu harakati zao zina viashiria vya kupoteza maisha

Napenda vijana waishi na sio wafe

Na hii ndiyo sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono

Nikiwaunga mkono nitakuwa nimewatuma shimoni jambo ambalo litaniingiza kwenye kesi ya mauwaji

Kawaida mtu anayewatuma watu kwenye kifo ndiye muuwaji

Hata katika imani ya binadamu huwa muuaji ni yule anayetuma watu kwenye shimo na sio lile shimo liliwaua

Lakini vilevile nafahamu gharama ya jambo wanalolifanya inawezekana wao hawajui

Vilevile kuna udhaifu mkubwa sana wa kundi hili unaonifanya kamwe nisiamini kama wataweza mfano uvunjifu wa Katiba na Sheria jambo ambalo litawaongezea matatizo wanapokuwa wakitatua matatizo

Badala ya kumaliza matatizo matokeo yake wanakua wakiongeza matatizo
Gen Z wanatumwa na huyu malaya muuza mbunye California
20251209_104004.jpg
 
Kuna kundi limesambazwa mtandaoni kwa kupewa maelekezo ya kutetea kila kitu na wanalipwa elfu 7 kwa siku. Huyu mtoa mada ni mmoja wao.

Bila shaka user name zao zinatakiwa kujulikana na waliowatuma ili waweze kuangaliwa kama wanafanya kazi.
hili tunalijua sana tu ilitakiwa hawa uongoz wa jf uwaondoe humu
 
Back
Top Bottom