atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Ni kweli unayoyaongea ujue tumeathirika na msemo wa samaki mmoja akioza ni wote kuna baadhi ya wanawake pia wakitendwa huwa hawatamani kumuona mwanaume wa aina yoyote na ukifanikiwa kumpata mahusiano huwa magumu sana kipindi cha mwanzoni vivyo hivyo kwa wanaume.
Its true. Ila sasa inabid tubadilike sasa tusihukumu watu wote kwa baya tulilofanyiwa na mtu mmoja. Hata ktk psychology tulisoma kuhusu swala la kugeneraliz group fulan kwa tabia za kundi dogo