Pole sana ila kama wewe ni mtu wa kuanzisha mahusiano kwa kupretend baadhi ya vitu,ambavyo mwisho wa siku unavisahau ni lazima utendwe tuu..wanaume wengi wanashindwa kuishi kwenye uhalisia wanafanya maigizo..kwa hali hii ni lazima nao waigiziwe!
...BTW hata nafsi yako yenyewe sio ya kuiamini sana.
Acha utoto. Hivi wanawake wangesema hawawaamini tena wanaume dunia ingekuwaje? Wanawake wanavyotendwa na wale waliwaamini! Au hujaona wanawake wanavyolizwa kila leo. Jipange ndio kukua huko mdogo wetu wa mwisho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.