Kimsingi hutakiwi kuweka imani yako kwa mwanadamu awaye yoyote.
Ni kweli lakin wengi katika mahusiano wanaruka kanuni saba za uchumba ndio ndio maana kizazi hiki chetu ndoa nyingi zinaachika kwa sababu hiyo mpendwa
Ni dhahir wasichana/wanawake weng kwa sasa hawana mapenz ya kwel rather they care watapata nn kwenye relationship,,,
Kwa mda nlioish dunian na kukutana na hawa viumbe kila wakat nimekuja ku-realize wako double faced!,,,
my take;
siwaamin tena wanawake,,an tht wil set me free frm loving sniches!
Mwenzio my marital status is "worried"
Lawama tumezizoea mbona labda una lingne jipya
inategemea na wewe ni mtu wa aina gani!kama ww macho juu utampata mwenzio wa macho juu,wapo watoto wa kike wazuri tu wametulia,kunguru ni kunguru tu hata ukimchanganya na njiwa atajisahau utasikia kwaaaaaaaa kwaaaaaaaa kwaaa........Ni dhahir wasichana/wanawake weng kwa sasa hawana mapenz ya kwel rather they care watapata nn kwenye relationship,,,
Kwa mda nlioish dunian na kukutana na hawa viumbe kila wakat nimekuja ku-realize wako double faced!,,,
my take;
siwaamin tena wanawake,,an tht wil set me free frm loving sniches!
Sio kila msichana ana double face. Wapo ambao wapo comitted wawapo ktk relation ladba bado hujakutana nao. Smtyms God wants to meet wrong ppl inoder to learn smthing.
Inasemekana wanaume ni wazembe sana ikitokea wamependa kweli huwa wanakuwa mazombi zaidi,kuliko hata mwanamke anapokuwa amependa
Mbona wengi tu mwanaume ukimkamata vizuri mbona anakuwa zombi ukikohoa tu hata kama mate yamekupalia huyu hapa,tatzo ni kwamba siku hizi pesa zimewekwa mbele kwa hiyo wamekuwa waogaNatamani nimpate huyo atakae kua zombi jamani! Tehe tehe
Hilo ndilo neno and the topic is closed. Kuna watu wengine passwords zote wanaacha kwa mdada unategemea nn mtoto wa kiume?