Bwege sio tusi Bali na hali ya mtu na mala zote huypo bwege huwa hajitambui"Ninafikiri ni vyema na muhimu tukaendelea kukosoana kwa njia mbali mbali, lakini kwa hakika kabisa siungi mkono rais kutukanwa kwa kejeli ambazo zina sura ya mizaha na sio mabadiliko, Rais kuitwa BWEGE ni kosa na utovu wa nidhamu.
Kosa hili halipaswi kutiwa moyo wala kuungwa mkono, lakini kumwambia Kijana huyu kuwa alikosea ni jambo muhimu zaidi na la busara"
Godbless Lema (Mp)
Lema alisema hana ID yoyote katika mitandao ya kijamii!Heko Mh Lema. Kwa heko na hii wote tunge mwunga mkono na kufunga mjadala
The Boss, sikutegemea wewe kuweka coment kama hii, labda utakuwa umesahau maana wewe ni bindamu. Ni kukumbushe tu kuwa siku zote cha kuigwa ni kitu chema tu, sio baya. Pamoja na maendeleo yao huko marekani, kuna vitu hatupaswi kuiga. Mfano kumtusi Rais, na viongozi wote wenye wa wafuasi wao. Marekani ushoga wameufungulia mlango na sasa uko ndani mwao, je nasi tuige sababu tu marekani wanafanya, siku zote jambo jema huigwa bila kujali linatoka nchi gani na baya hupingwa hata litoke marekani.Rais wa Marekani anaitwa majina mengi mabaya kuliko hilo la bwege...
Sheria hizi lengo ni kuleta hofu kwa ujumla kwa watu
wasiwe free kumkosoa....
unafanya ulinganisho usio na maana. wewe ni Rais wa Nchi? Rejea Katiba kuhusu wadhifa wa Rais; pia, tambua kwamba adhabu za makosa zimetajwa kisheria... ulitaka hakimu aende kinyume na sheria?> fikiri japo dakika 1 kabla ya kuja hapa..Sawa, lakini hata mimi sidhani kabisa kama hilo kosa linaendana na adhabu aliyopewa huyo kijana.
Angeniita mimi 'bwege' unadhani hata angekamatwa?
Au hata ningeenda kumfungulia mashitaka unadhani angepewa hiyo adhabu aliyopewa?
Hapo ndipo kwenye UPUMBAVU wa sheria zetu azigusi wakubwa kamwe.Je, ni haki pia Rais mstaafu kuwatukana Watanzania kwamba ni Wapumbavu na Malofa kisa tu hawaungi mkono chama chake na mgombea wake wa nafasi ya Urais? Mbona hakuchukuliwa hatua zozote hata kupewa onyo tu kwa kuwatukana Watanzania!?
Unyumbu utakuua sasa hapo umeungana na lema tenakweli mkuu..
swissme
Unayo haki ya kwenda kufungua case..Watu tunachokiongelea hapa ni double standards.. Matusi si mazuri kwa pande zote sio upande mmoja tu.. Kwahiyo na sisi tulioitwa malofa na wapumbavu tukiamua kujikusanya kupeleka shauri mahakamani Mr. Clean ataadhibiwa??
Wewe kama Mwanasheria naomba unijibu hilo..
Mkuu hivi rais ahangaike na kijana mmoja wakati ana nchi yakuundesha zaidi kuna watu wakulinda usalam na heshima rais ndio kazi yao kufungua kesi kwa niaba ya rais au jamuhuriMantiki ya kumchangia huyu kijana inatokana na sheria katili (Draconian law) ya makosa ya mitandao iliyotumika kumhukumu. Vinginevyo aliyeitwa "bwege" angepaswa kufungua shauri la madai mahakamani.
Kamanda,rudini vitani muda unaenda,Tulia nini bana alikuwepo Mkwawa pale,kila zama na vitabu vyake,hii nafasi haitarudi tena"Ninafikiri ni vyema na muhimu tukaendelea kukosoana kwa njia mbali mbali, lakini kwa hakika kabisa siungi mkono rais kutukanwa kwa kejeli ambazo zina sura ya mizaha na sio mabadiliko, Rais kuitwa BWEGE ni kosa na utovu wa nidhamu.
Kosa hili halipaswi kutiwa moyo wala kuungwa mkono, lakini kumwambia Kijana huyu kuwa alikosea ni jambo muhimu zaidi na la busara"
Godbless Lema (Mp)
Soon Lema atatinga mjengoniKamanda,rudini vitani muda unaenda,Tulia nini bana alikuwepo Mkwawa pale,kila zama na vitabu vyake,hii nafasi haitarudi tena
Vyocyote utakavyotafsiri ila ukweli ni kwamba Lema amepingana na akina Malisa na Nanyaro waliochangisha hizo fedha. Usiweke tafsiri yako isiyoelewekaYaani we ndio huja muelewa kabisa keywords ya Lema ni haya hapa "LAKI KUMWAMBIA HUYU KIJANA AMEKOSEA NI JAMBO LA BUSARA ZAIDI" Ana maanisha adhabu yote aliopewa haina maaana mpaka anaangaika kwenda kuchangisha watu na badala yake wangewezwa kumuonya kwa busara na akaelewa na kuwa balozi mzuri wa maadili.
Ulichelewa sana kumfahamu sisi wana arusha tunajivunia kuwa na mbunge makini na msumari wenye kutu kwa ccmTangu nmeanza kukufatilia post zako na hotuba zako leo ninadiriki kusema kuwa UMEPEVUKA kisiasa,Big up Mbunge wa Arusha
Kwa bongo mkubwa hakosolewiNi Kweli, Lakini Busara Ya Kumkanya Na Kumsaidia Ni Bora Zaidi Kuliko Kumwacha Akaozee Jela Wakati Inawezekana Kumrekebisha Mtaani.
Je, Huyo Hakuwa Mmoja Kati Ya Vijana Walioitwa Wapumbavu Kisa Wanataka Mabadiliko?