Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,570
- 16,017
Wewe jingaaaa sana, na kwa taarifa yako wale wote wanaomchangia huyo kijana wanafuatiliwa, na lazima wote wakomeshweUkiwa mwanasiasa kuwa na ujasiri wa kupokea yote na kuvumilia yote ndio sifa kuu ya viongozi shupavu, hakuna anaeunga mkono dhihaka dhidi ya rais au binadamu yeyote, lakni kinachopingwa ni adhabu na muamsho dhidi ya sheria mbovu ya mawasiliano ya mtandao...
hats wew jua kuwa hatukuungi mkono wew tunaunga mkono unachokisimamia, siku ukijichanganya tunakubwaga tu Kama wenzako..