Akili nusu.wameanza kushika ADABU, walishazoea kumtukana JK naZZK.
Iko namna sio bure....Asante Lema,
Lakini mbona kama alichangiwa 4.5m za faini na viongozi wa chama chako mkoa, au mlimchangia baadae mkamwambia lakini kijana umekosea au ulinyamaza kimya.
kivipi?Sisi na Rwanda tunaanza kufanana
Tunapaswa kuiiga Marekani kwa kila jambo.Kama wanaruhusiwa kumtukana rais wao kwanini kwetu iwe nongwa.Pia wamarekani wanaruhusu ushoga..........Rais wa Marekani anaitwa majina mengi mabaya kuliko hilo la bwege...
Sheria hizi lengo ni kuleta hofu kwa ujumla kwa watu
wasiwe free kumkosoa....
Hapana uhuru wa mtu uheshimiwe. Mimi sioni shida kama mtu anataka kuwa shoga inakuhusu nini. Haki yako ipi imevunjwa nambie. Usiniambie mambo ya dini. Wengine hatuna Mungu. Hiyo ni personalThe Boss, sikutegemea wewe kuweka coment kama hii, labda utakuwa umesahau maana wewe ni bindamu. Ni kukumbushe tu kuwa siku zote cha kuigwa ni kitu chema tu, sio baya. Pamoja na maendeleo yao huko marekani, kuna vitu hatupaswi kuiga. Mfano kumtusi Rais, na viongozi wote wenye wa wafuasi wao. Marekani ushoga wameufungulia mlango na sasa uko ndani mwao, je nasi tuige sababu tu marekani wanafanya, siku zote jambo jema huigwa bila kujali linatoka nchi gani na baya hupingwa hata litoke marekani.
Umeenda mbali sana, sidhani kama ushoga tunaupinga kwa sababu ya Dini tu, ila tamaduni zetu hasiruhusu pia. Alafu mkuu mtu akisha kuwa shoga tayari hasara kwa Taifa, nguvu kazi ya kiume imepotea tayari, shoga hamudu kunyanyua vitu vizito vilivyowekwa chini mfano ndoo ya maji, tofari, nyunia Nk. Unaponyanyua vitu vizito kuna misuri lazima ikaze, shoga wengi hulegea kama wanawake tu, hawamudu kazi ngumu tena tena afadhari ya mwanamke. Fikiria mwanao wa kiume umentuza vizuri umemsomesha, sasa anataka kujitegemea, alafu siku ya siku akuletee habari amepata bwana mwenye pesa zake anataka kuolewa nae, wewe kama mzazi utaipokea kwa furaha tu, eti ushoga wake haukuhusu. Mimi naamini madhara ya ushoga, madawa ya kulevya, jambazi na mabaya mengine yanatuhusu sote kama Taifa. Mbona tunapiga kelele kuhusu Chid Benz na Ray C.Hapana uhuru as mtu uheshimiwe. Mimi sioni shida kama mtu anataka kuwa shoga inakuhusu nini. Halo yako ipi imevunjwa nambie. Usiniambie mambo ya dini. Wengine hatuna Mungu. Hiyo ni personal
hilo nalo tusi mkuu sema ww hujamtukana raisiMmechanganyikiwa
Hiyo adhabu kubwa kuliko Mla rushwa sheria iangaliwe upyaAdhabu aliyopewa si kwa sababu ya kosa alilolifanya.
Ni kwa sababu ya utovu wa nidhamu.
Mbona Lusinde anatukana sana kwa nini?wameanza kushika ADABU, walishazoea kumtukana JK naZZK.
Well, kwa upande mmoja kutukana ni kosa. Kwa upande wa pili neno kuwa tusi lazima liwe na maana isiyo sahihi na ya kulazimisha. Km yanataja aspect ya mlalamikaji kwa uhasilia sio tusi. Si ajabu kuwa na rais mzinzi au mwizi au mdini..au hata bwege. Ukimwita mdini , mzinzi au bwege km Uhalisia wake ikawa nongwa."Ninafikiri ni vyema na muhimu tukaendelea kukosoana kwa njia mbali mbali, lakini kwa hakika kabisa siungi mkono rais kutukanwa kwa kejeli ambazo zina sura ya mizaha na sio mabadiliko, Rais kuitwa BWEGE ni kosa na utovu wa nidhamu.
Kosa hili halipaswi kutiwa moyo wala kuungwa mkono, lakini kumwambia Kijana huyu kuwa alikosea ni jambo muhimu zaidi na la busara"
Godbless Lema (Mp)
Yule bwana hakutukana ball alitofautisha usanii wetu sasa na kiongozi Mwl . Nyerere!mkuu ni kweli kumpeleka mahakamani yule Kijana haikuwa busara, atawapeleka mahakamani watu wangapi
Ni vichwa vyenu tuu vina shida? Ndio maana hamjijui kwanini rais ana nguvu nyingi. Rais ni raia km wewe na kinacho mpa heshima ni tabia yake na uadilifu na si nguvu za ikulu. Km anazini km Clinton anachekwa tuu km wengine. Na anaadhibiwa. Ila kwa hizi tabia yenu rais akibaka mbakaji ndie atahukumiwa kwa ku tuka na rais.The Boss, sikutegemea wewe kuweka coment kama hii, labda utakuwa umesahau maana wewe ni bindamu. Ni kukumbushe tu kuwa siku zote cha kuigwa ni kitu chema tu, sio baya. Pamoja na maendeleo yao huko marekani, kuna vitu hatupaswi kuiga. Mfano kumtusi Rais, na viongozi wote wenye wa wafuasi wao. Marekani ushoga wameufungulia mlango na sasa uko ndani mwao, je nasi tuige sababu tu marekani wanafanya, siku zote jambo jema huigwa bila kujali linatoka nchi gani na baya hupingwa hata litoke marekani.
Sisi na Rwanda tunaanza kufanana
Kumchangia ni sawa kabisa kuliko serikali ikatumie mamilioni kumlisha akiwa jela kwa kosa hilo kweli angalia pande zoteKemea kwanza tendo linalofanywa na vijana na madiwani wenu. Kitendo cha kumchangia fedha mtuhumiwa kinatoa taswira mbaya kwa chama chenu japo wengine wanaona ni kitendo cha kishujaa lakini huwezi kuenzi ushujaa katika mambo ya kijinga.
Wewe ndiyo unajiona unaakili sana, mkuu nakushauri usipende tabia kuona wewe unaelewa, eti wenye mtizamo tofauti wote hawana akili, kuto jua Lugha ya staha ndicho kinachotupelekea kuwepo mjadala huu. Kwa nikubariane na wewe awe Rais au kiongozi mwingine au mtu yeyote yule, asipokuwa na Lugha ya staha asitegemee kuheshimiwa na jamii. Sioni kama mada unauhusiano na Rais kutokua na staha na naamini hayuko hivyo, inahusu kutukwanwa Rais, nikwambie tu Rais ni raia kama wewe na mimi sawa, ila ana hadhi tofauti na wewe na mimi. Ndiyo maana anapewa ulinzi wewe hulindwi, lakini hata hadhi ya wazazi wako hailingani na yako, ndiyo maana unaona mtu akitukanwa yeye shuguri yake yaweza kuwa ndogo tu, ila mzazi wako hee, moto wake hauzimwi kirahisi.Ni vichwa vyenu tuu vina shida? Ndio maana hamjijui kwanini rais ana nguvu nyingi. Rais ni Raia km wewe na kanacho mpa heshima ni tabia yake na si nguvu za ikulu.