Sitta on DOWANS payment: unanswered questions and painful

Sitta on DOWANS payment: unanswered questions and painful

Anasema kulipaswa kupitiwa masuala ya muhimu na serikali badala ya kukurupuka kulipa.

(ni kama vile anamaanisha ishu nzima ni dili).

hapo tu ndo uwa nakubali 6 ni chuma cha pua

Sitta akumbuke kula na wezi, nawe unakuwa mwizi. Hivyo Sitta achukue jukumu la dhati akae kundi la umma, kundi la upande wa haki, upande wa uhalali na jasho la wananchi.

Yeye anapokataa serikali kuilipa Dowans halafu bado yupo anagugumia na kunang'ania ktk koti la wezi kama chawa, bado hajaonekana mkweli.
Hiyo kodi kubwa na jasho la umma wanapewa mafisadi, alitakiwa alikache hilo genge mara moja
 
Kuonyesha anajali ajitoe serikalini
Mtu wa namna hiyo ni kama anawambia watu wengine kuwa hilo ni changa la macho kwa sababu yeye kama aliyekuwa spika ni dhahiri ni mweledi juu ya Dowans hivyo anapatwa na kigugumizi kulingana na maadili na wadhifa alionao.
 
For me, this man is daring and its good that there is someone within CCM who can explode them ...excuse my english! Who can expose 'em!( Kuwalipua! )
He doesn't have to do it in CDM or any other party,
6 I gat ur back! ( Well in JF domain only )
 
6 anaonyesha ni mwanamapinduzi wa kweli na amejitayarisha kwa chochote ambacho wanafiki wataamua kumfanyia keep it up 6
 
Lazima tukubali kuwa viongozi watz wengi ni waoga. Naamini zaid ya 95% ya viongozi wa sirikali wanajua huu uozo lakini kwa kuwa miongoni mwa wanahisa wa downs ni wale walio waweka dno midomo imenyauka.

Pili watu wanavutia kamba kwao. Si mlaumu sita lakini awe na lengo la kulinda mali za watz na si kwa sababu isuue yake ilipigwa kibuti.

Sijaona, na pengie sitaona uongozi huu wa kiwete sorry kikwete.
 
Sitta ni mtu wa kukurupuka. Ndio maana ktk kampeni alisema Dr SLAA ni mnafiki na sera zake ni uongo mtupu. Thats why akataka mdahalo na Slaa. Sitta hafai iwe CCM, CDM, CUF etc
 
Kauli za Mzee 6 kuhusu Dowans zinaonyesha waziwazi kuwa anafahamu vizuri jinsi utapeli ulivyofanyika. Kama ni mzalendo wa kweli, basi auambie umma wa watanzania ukweli kuhusu Dowans. Vinginevyo, siwezi kumtofautisha Mzee 6 na viongozi wengine wanaotaka malipo kwa Dowans yafanyike.
 
:heh:Ni kweli ni chuma cha pua lakini kuendelea kukalia boti lenye matobo kwenye bahari hata yeye atazama tu! Inavyoonekana anajua kila kitu kuhusu dowans,kwanini asituambie basi ili watanzania tuongeze chuki zaidi kwa CCM?:noidea:

Awaambie mara ngapi? kesha sema DOWANS ni ya mafisadi watatu ndani ya CCM, akasema kuilipa DOWANS ni sawa na kuhujumu UCHUMI wa nchi. SITTA umri umesha kwenda yeye kesha sema(katimiliza jukumu lake) sisi vijana yatupasa tuanzishe maandamano ya kupinga malipo hayo, Watakaoogopa ya ARUSHA tunawaomba wasije kabisa katika maandamano hayo. HILA tuwe wazi kabisa kuwa maandamano yetu siyo ya AMANI maana POLISI wasitegemee mtelemko wakimwaga mboga sisi tunamwaga ugali, mwenye gurnet ajenayo, mwenye gobole aje nalo, mwenye bastola aje nayo, mwenye kombeo aje nalo, mwenye mkuki aje nao hata mwenye uchawi wa kinyekitile wa kugeuza risasi kuwa maji aje nao.

Wana JF sio kwamba nachochea vurugu, la hasha bali tukiandamana huku tumebeba matawi, tumejifunga vitambaa vyeupe au tuna pepea vitambaa vyeupe (kama CHADEMA) INTELIGENSIA ZA IGP MWEMA AZIPATAZO KWA MAFISADI ZIKIMWAMBIA KUWA MAANDAMANO YETU YATAARIBU DEAL YAO YA KUPATA 185 BL., IGP atadai kapata inteligensia kuwa tutasababisha uvunjifu wa AMANI hivyo kama ARUSHA ataamuru ASKARI wake WATUUE, NAMI siko tayari kufa kikondoo maana muda huu ni wa mapambano ya kuikomboa nchi yetu.. HAYA SHIME WANA WA NCHI SIKU YA MAANDAMANO mwenye BASTOLA hayaa, mwenye MANATI haya, mwenye JAMBIA haya, Mwenye GOBOLE haya, hata mwenye MWIKO sawa tu maana kama ndio silaha pekee uliyo nayo njoo nayo ili Mradi ASKARI DHALIMU wajeshi la POLISI LA CCM wakilianzisha wasitegemee mtelemko,

NAJUA HUMU JF kuna vijana wa MWEMA mfikishieni SALAMU kuwa KATIKA MAANDAMANO YETU YA KUPINGA MALIPO YA DOWANS akileta zake za kujifanya kapata inteligensia safari hii HATUTO KUFA KIKONDOO KAMA NDUGU ZETU WA ARUSHA, Zile FULL SUITE zenu makambini tutazitia moto, na watoto wenu si wanakuja kusoma shule zetu uraiani tutagawana mabandama yao ili nanyi muone uchungu wa KUUAWA kwa ndugu au watoto wenu ALUTA CONTINUA
 
Hakuna chochote!Debe tupu....!Asichukie sakata hili la Dowans kuendelea kujipatia umaarufu kwa kisiasa.Yeye kama anataka aachane na huo uwaziri abaki mbunge kuliko kuendelea kushiriki kwenye baraza la mawaziri na kufungamana na maamuzi ya kifisadi.Au kama vipi aende upinzani tu tujue moja!
 
nachelea isije kuwa ni nongwa ya kuukosa uspika sasa analipa kisasi. si yeye alishabikia kuvunjwa kwa mkataba siku 90 kabla ya muda kuisha?
 
i think Sitta needs other supporters from CCM backbenchers..... they must revolt.... inatakiwa walianzishe ndani ya CCM kwanza..... bila rebellion kichuguu makamba atamyamazisha tu.... kesho utasikia CCM watamchimbia mikwara mzee sitta na kuanza kumtisha kumfuta uanachama
 
nachelea isije kuwa ni nongwa ya kuukosa uspika sasa analipa kisasi. si yeye alishabikia kuvunjwa kwa mkataba siku 90 kabla ya muda kuisha?

wewe kama MTz una maoni gani na malipo kwa Dowans.

hafu nisaidie kitu...ivi 2kiwalipa ile mitambo itakuwa ya nani? Dowans au Tanesco?
 
kuna mambo anafahamu huyu bwana-sasa ili tuamini kuwa kwel ni kiongoz ambaye apenda watanzania mimi naona angewataja hao wabaya wa tz na kuweka mambo yote hadharani kuliko kubaki anazungumza mafumbo kama anavyofanya kwa sasa
 
Huwa wanaapa kwamba watatunza SIRI za serikali,hebu tusubiri tamko la cabinet,ama ndo watakachojadili na kuamua tusokuwemo ndani hatutokijua?

AJIUZULU kwani aliomba uwaziri serikalini? NIJUAVYO Yeye aliomba USPIKA wa Bunge NA SI UWAZIRI.
JK alijipendekeza kumuingiza serikalini ili kumpooza, baada ya yeye na MAFISADI kuchakachua mchakato wa kugombea USPIKA ndani ya CCM, kwa kuwa SIX alikuwa mwiba mkali kwa yeye na MAFISADI, sasa MZEE SIX aangalii eti serikalini kuna corrective responsibility au kuapa kutunza siri. MAADAM WAMESHA MWAGA UGALI YEYE ANAMWAGA MBOGA. Nami namsupport hamna kutoka serikalini aendelee kuwavuruga tu, Wakisema uongo yeye anasema ukweli. Nanukuu (sio ya neno kwa neno) kipande kidogo alichosema leo, "nashangaa mwanasheria wetu kukubali haraka haraka kuwalipa DOWANS, mimi nilitegemea hatajenga hoja hata kidogo na kuileta serikalini, sisi wanasheria huwa tunajenga hoja hata katika mambo magumu san, ndio maana mtu ana ua na watu wameshuhudia lakini bado mwanasheria anapanda mahakamani na hoja za utetezi kumtetea muuaji huyo." HIZO ni salamu kwa WEREMA. SIX kanyaga twende ( jamani kwenye vita hatuchagui silaha hata mwiko unaweza kusaidia ushindi) Hivyo mzee SIX kuwa serikalini sio tatizo maadam anapigana akiwa upande wetu hata kama wamemfunga miguu na mikono atatumia mdomo(meno) KUNG'ATA
 
Back
Top Bottom