Sitta on DOWANS payment: unanswered questions and painful

Sitta on DOWANS payment: unanswered questions and painful

if u cant fight them.. join them and fight them from within

ndicho mzee sitta anachofanya kwa sasa

Do you see him fighting? i do not understand the word fight,he simply gave his opinion....can you fight Mafisadi while you were/are one of them?Is he fighting them alone,how powerful is Sitta in his own party and in this nation???? what is he doing in the cabinet that was not involved in such a huge decision,that means they are powerless and their decision do not matter, Rostam and Lowassa decision can be useful in decisions though they are outside the cabinet than his.He should man up!:disapointed:
 
Minister for Eeast African Cooperation Hon. MP Samwel Sitta said the decison to pay DOWANS has not gone through the cabinet

Mr. Sitta Said he would seek explanations over the matter when the cabinet convenes, adding that there were some unanswered questions

He further explained and said it was "painful" to pay the amount

The minister said he believed Mr. Ngeleja and Attorney General F. Werema would have something to tell the cabinet since all the announcements they were making had not been discussed by the cabinet..... they will have to tell us it is very serious.. we have not discussed collectively and made a decision to pay up

The Citizen; today 8/01/2011

Jasiri haachi asili kama mtu alifikiri uhuru wake (6) wa mawazo utafungwa kwa kupewa uwaziri alikosea sana!
 
Mzee wa standard hongera sana kwa kucheza karata ngumu kisiasa........
 
Sitta acha unafiki,laiti kama wakati wa uspika ungekomaa dowans isingezaliwa maana kamati ya mwakyembe ilikosa uadilifu na kuficha baadhi ya ukweli kwa kisingizio cha nchi kuanguka,huu ndo mwanzo wa richmond kupata mwanya wa kuzaa dowans,,,,ndio gharama za wewe kama spika kuzioma mjadala kinyemela,,huna usafi wowote,,na ukitaka kweli historia ikukumbuke jiuzulu na waeleze wana wa nchi yote uyajuayo kuhusu sakata zima,na umma utakusamehe,
 
business as usual....... mbona mawaziri wengine wamekaa kimya...... ?
 
mmh, huyu mzee naye? akiendelea hivi, siku zake kwenye cabineti zitaanza kuhesabika

Maisha nje ya cabinet ni mazuri zaidi maana dhamira zao bado zinawakaanga. Mtu kama Mwakyembe, kapewa hicho kitumbua lakini anakila kwa shida. Anaelewa mengi zaidi lakini hicho kitumbua inabidi aendelee kukishindilia kinywani mwake kama ataendelea kuwa cabinet memba.
 
Jamani namuomba mzee 6 ajiangalie maana kutokana na hiyo statement, mafisadi wanaweza kumdhuru kabla hata ya kikao cha cabinet

Huko kutakuwa ni kuruhusu Arusha nyingine, watanzania sasa hivi hatutaki upuuzi. Serikali hii haiko madarakani kwa ridhaa ya wananchi na hata JK na mkewe wanaelewa hivyo. Kama serikali haitaki kutusikiliza basi tutawalazimisha kutusikiliza.

Kale kamtindo kalikotokea kwa Kolimba, Kombe na wengineo hatuwezi kukakubali katika karne hii.
 
Huyo ndo sita yupo ka chaja ya kobe kule yupo huku yupo
 
Anasema kulipaswa kupitiwa masuala ya muhimu na serikali badala ya kukurupuka kulipa.

(ni kama vile anamaanisha ishu nzima ni dili).

hapo tu ndo uwa nakubali 6 ni chuma cha pua
 
:heh:Ni kweli ni chuma cha pua lakini kuendelea kukalia boti lenye matobo kwenye bahari hata yeye atazama tu! Inavyoonekana anajua kila kitu kuhusu dowans,kwanini asituambie basi ili watanzania tuongeze chuki zaidi kwa CCM?:noidea:
 
Kudadeki;;nimeiona hii ni kweli jamaa anamisimamo na hatishwi na the so called Collective Responsibility,wasije mzimisha baba yetu maana jamaa hawakawii kumKOLIMBA.
 
:heh:Ni kweli ni chuma cha pua lakini kuendelea kukalia boti lenye matobo kwenye bahari hata yeye atazama tu! Inavyoonekana anajua kila kitu kuhusu dowans,kwanini asituambie basi ili watanzania tuongeze chuki zaidi kwa CCM?:noidea:

Ataaminika kama atawataja. Siyo kutuambia tugange yajayo! Maana amesema, kwa siku zijazo tuwe makini......TBC1
 
Ataaminika kama atawataja. Siyo kutuambia tugange yajayo! Maana amesema, kwa siku zijazo tuwe makini......TBC1
katiba mpya tunaomba kuwe na kipengele cha mgombea binafsi. this man has my vote 2015
 
Mheshima Samweli Sita ametoa msimamo wake waziwazi dhidi ya Dowans alipokuwa anaongea na waandishi wa habari mkoani Arusha. Sita amesema Dowans ni kampuni ya kitapeli lakini kwa sasa imetushinda lakini akitoa angalizo kwa rais kuwa makini na watu wenye nia mbaya na Tanzania ambao ambao wanaanzisha makampuni feki na kukwapua mabilioni ya fedha na kufurahi nazo.
Wana JF Sita ni kiongozi wa Tanzania wa mfano kuigwa kwanza kwa kuwa wazi kimtazamo na kuwafungua wengine ambao tupo gizani na masakata ya kifisadi kama haya.
Mwisho hakuacha kumtupia lawama mwanasheria mkuu wa serikali kwa kuwa na msimamo legelege dhidi ya Dowans.
Big Up Sita, wewe ni mfano wa kuigwa ulifaa uwe chama fulani hivi nadhani wanaJF wataniambia nikipi ambacho wao ni kazi yao ni kunyoosha.
NI MTAZAMO TU.
Source TBC1
 
Huwa wanaapa kwamba watatunza SIRI za serikali,hebu tusubiri tamko la cabinet,ama ndo watakachojadili na kuamua tusokuwemo ndani hatutokijua?
 
Back
Top Bottom