kwa siitta ninayemfahamu, yule aliyeondoa shilingi wakti mustafa nyanganyi alipoenda kununua kivuko kibovu kikaua watu, yule aliyechapwa fimbo na nyerere, yule aliyeongozza mgomo pale udsm 1966! wakati haujafika, sitta anaona mbali kuliko sote, subirini muone, ndo mkombozi pekee aliyebakiKauli za Mzee 6 kuhusu Dowans zinaonyesha waziwazi kuwa anafahamu vizuri jinsi utapeli ulivyofanyika. Kama ni mzalendo wa kweli, basi auambie umma wa watanzania ukweli kuhusu Dowans. Vinginevyo, siwezi kumtofautisha Mzee 6 na viongozi wengine wanaotaka malipo kwa Dowans yafanyike.