Sitta atimuliwa nyumba ya Serikali

Sitta atimuliwa nyumba ya Serikali

Si wanayo mahekalu ambayo wamejenga.. Wahamie tu
 
Kufukuzwa kwenye nyumba ya serikali hilo sawa kwa maana kwa sasa sio mtumishi wa serikali ila kuhamia Manzese duuuu!!!hata mimi na ukapuku wangu sikai.
 
Kwa hiyo hata rais mda wake ukiisha wa uongoz aendelee kuishi ikulu kwa vile atakuwa kaleta maendeleo!!!? Alitakiwa tena hata hajaondolewa ahame arudi kwenye makazi binafsi ili kuwaachia wengine.
 
Kufukuzwa kwenye nyumba ya serikali hilo sawa kwa maana kwa sasa sio mtumishi wa serikali ila kuhamia Manzese duuuu!!!hata mimi na ukapuku wangu sikai.
Baada ya Muda si mrefu Manzese itakuwa Kariakoo mpya.Serikali iangalie miundombinu yake kwa Makini.Maghorofa yanaota kwa fujo kama uyoga ila sijui kama pana hata maeneo ya Parking
 
Kwani zile milion 30 za kila,mjumbe Wa ukawa alizifanyia nini hila huyu mzee kawachakachua watanzania kwenye katiba hii ndio adhabu ya wanafiki
 
Kwan mshahara wake wa zaid ya miongo miwili bungen alikua anafanyia nini mpaka inafikia stage ya kufukuzwa, Tatizo la viongozi wetu kupenda mteremko hata kama wakisha toka madarakani.
 
Spika analindwa na sheria mpaka kufa kwake.Labda atakuwa amebadilishiwa nyumba.
 
Wamechelewa sana kuchukua hatua hiyo, na hao waliokuwa wanaidhinisha malipo ya pango watumbuliwe tu hakuna jinsi nyingine. HAPA KAZI TU.
 
Asanteeeeeee Mungu, huyu jinsi alivyonikera bunge la katiba !!!! na a akomeeeeeee ( in Gwajima voice )
 
akaishi kwake........au aende urambo aishi kwenye nyumba ya spika aliyojenga, kule hakuna bunge

Watanzania kwa uongo na majungu hatujambo sana, nyumba gani aliyojenga sitta urambo, kile kiofisi ndo unasema, habari za kusoma kwenye magazeti ndo unachukua kama zilivo bila kuchuja,
 
Ina maana pamoja na utumishi wa muda mrefu hivyo Serikalini hana uwezo wa kujilipia mwenyewe hiyo nyumba?! Waliomtimua wamemtimua kwa kasi na viwango, yaani toka Masaki hadi Manzese! Kweli imetupasa kuwa watu wa kutenda haki kwa gharama yeyote ile.
 
Anauza soda masaki,anaishi ghetto magomeni,choo cha kulenga,ugali tembele,nyumba makuti! Amekomaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom