Sitta atimuliwa nyumba ya Serikali

Sitta atimuliwa nyumba ya Serikali

Kwani hiyo nayo ni habari? Ni nyumba ya serikali na yeye si mtumishi wa serikali apishe tu wapewe watumishi wengine wa serikali wanaostahili kupewa nyumba hiyo kwa mujibu wa sheria/ utaratibu.
Kumbuka huyu ni spika mstaafu anastahili kulipiwa/kutunzwa na serikali sasa wanamwambiaje aondoke bila kumpa makazi mengine?
 
Me naona sawa kutimuliwa, lkn tuamini kuwa mzee 6 alikua kwenye nyumba ile kama kuziba ridhiki za wengne wanaoweza kukaa kwenye nyumba ile.

Sitaamini kuwa mzee 6 hana nyumba ya kuweza kuishi yeye na familia yake..
 
Siy
Aliyeyewahi kuwa Spika Na Mwenyekiti wa Bunge la Katiba Mzee 6 ameondolewa kwenye Nyumba ya Serikali Na kuhamia Manzese.Kwa wale wenye shuda ya kumwona au kumtembelea Mzee wetu watampata Manzese. Siyo manzese ya ubungo ni moja ya mtaa maeneo ya masaki
 
Dhambi ya katiba itamtafuna hadi mwisho.Makonda ajifunze toka kwa Sita.
 
CCJ watamtafutia makazi pamoja na N. A. P. E waliyekuwa naye kule.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom