Kama unadhani Ccm wana shukurani umekosea sana. Hivi unajua Ccm walivyomtumia kuchakachua maoni ya wananchi ktk bunge la katiba? Unakumbuka madai kwamba marehemu walipiga kura akiwemo mamake Zitto? Unakumbuka alitumia kila njia mpaka mahujaji waliokuwa Saudia walipiga kura?
Sasa angalia mshahara wake, ametimuliwa nyumba ya serikali baada ya serikali kukataa kumlipia pango! Alikuwa analipiwa dola 8000 kwa mwaka. Amehamia Manzese!
Chanzo: Majira
CC: Dr Tulia, Makonda na IGP Mangu
Manzese ipi?
duh.....nani alinunua?Chadema iliuzwa kwa billion 10
hakuna hali ya kudumu,kwaio hana hata nyumba masaki?Ndio maisha hayo nae aonje utamu wa manzese
Ukweli ni upi? Uweke hapa tuujue basiAcheni umbeya, yaani unaleta habari kiongo kiongo kwa uzushi ili upotoshe ukweli. Yaani kizazi hiki ni majanga.
sasa we ulitaka akae mpaka lini ilihali muda wake wa uoongozi umeisha?Mzee 6 dhambi ya katiba mpya inakutafuna tunazidi kuwaambia CCM haina fadhira wala shukurani
Kimara alishahamaga na nyumba akapangisha akaenda Bunju. Masaki ana kanyumba kadogo tu! Nenda BunjuWewe acha ushabiki na upotoshaji usio na maana, kwa taarifa yako Sitta anaishi Kimara- DSM huko ndiko yaliko makazi yake binafsi ambapo ana jumba LA kifahari muda mrefu sasa. tujadiri hoja za msingi na sio upuuzi huu.