Sitta naye Mbona alishawahi kuonekana eneo lile lile akifanya kitu kile kile kwa namna ilele ile kwa malengo yaleyale na kwa watu wale wale kama anavyofanya EL? kati yao wawili hawa hakuna wa kumkemea mwenzake katika hili.
Moja ya Wazee ambao ni Majanga kwa Taifa ni huyu Mzee Sitta, ni Bonge la MNAFIKI.