minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,505
- 22,516
Hivi sitta anagombea nn?
Alitaka Urais lakini wakamchinjia mbali kwa Goli la Mkono baada ya JK kwenda Dodoma na majina yake mfukoni sasa anagombea Ubunge baada ya kuahidiwa na magufuli kuwa akipata Ubunge atarejeshewa wizara Hiyo hiyo ya Ulaji aendeleze wizi bandarini viwanja vya ndege na kujipatia pesa kifusadi kwa kisingizio cha upanuzi na ukarabati wa reli.