Sitta ahoji harambee za Lowassa Makanisani na sasa misikitini

Sitta ahoji harambee za Lowassa Makanisani na sasa misikitini

KILA AINA YA NJAMA MTAFANYA /
FANYENI KAMPENI SAFI KAMA UKAWA ENYI CCM/ MABANGO YETU MNABANDA KILA PAHALA NCHI NZIMA,shame on you!
 
Sometime unaweza ukampondea sana lowassa halafu baadaye akaja kuwa rais wako. sijui utafanya nini?
 
Kwani we unachagua Rais Mwenye sifa? Hizo sifa zitakupeleka wapi? Wenzako wameshasema hata likiwekwa Jiwe watalichagua tu
 
Sisi tunachotaka ni kubadilisha mfumu wa uongozi tumeichoka ccm kwani hata uwe msafi kiasigani lazima uharibikiwe na ile ilani wanayoitumia ndio ileile.
 
Udn hauna nafas kpnd hk mkuu,mm n RC lakn kura yangu kwa Mh. Lowasa. Hata Mniwekee mabango ya kgamba had chumban bdo ntapgia kura MABADILIKO .
 
Taasisi za kidini zinahitaji Fedha ili ziweze kujiendesha vyema,Maana viongoz wengi wa kiroho wanatumia muda wao kuongoza waumini,mm sion tatizo hapo.
 
Ngoja nikusahihishe kidogo.

Dr mla mihogo siyo Mume wa Josephine, bali kwa miaka yote hii zaidi ya 10 ambayo wameishi pamoja na kujaaliwa kupata mtoto, amebakia kuwa mchumba wa Mushumbusi!
Huyo mtoto achunguzwe DNA maana Josephine amechepuka na watu wengi wa ccm mmoja wapo akiwa Membe ambaye sasa katumia nafasi hiyo kumshawishi wachukue pesa na kuanzisha vurugu za kumchafua Lowasa.
 
Kwa taarifa yako, HAKUNA MTU ANAYE PENDA UMASKINI. Labda wewe peke yako.

Ndiyo maana ninawapenda CCM wanajifanya hawamtaki Lowassa lakini kwenye hoja zake na maono yake wako pamoja.
 
Udn hauna nafas kpnd hk mkuu,mm n RC lakn kura yangu kwa Mh. Lowasa. Hata Mniwekee mabango ya kgamba had chumban bdo ntapgia kura MABADILIKO .

Hata wafanye nini waje na fitna, uongo, ushawishi, uszushi wa kila aina watu hawasikii wanataka mabadiliko tu.
 
Kwa maelezo anayotoa huyo katibu wake anam potray EL kama ombaomba, anapita huku na kule akiomba pesa kwa watu anaowaita 'marafiki'. Huyu ni mtu anayefukuzia uraisi, sasa I can imagine jinsi ambavyo hii ombaomba ataipeleka level nyingine kama atafanikiwa kukalia kiti kikubwa!

Badala ya ku promote culture ya 'kutegemea vya kupewa na kuombaomba' kwa taasisi za kidini, yeye kama raisi mtarajiwa nilitegemea angekua anawapa long term solutions kwa hizi taasisi juu ya namna ya kuwa na vyanzo vya mapato ili wajitegemee. Anachofanya ni sawa na kuwapa watu chakula badala ya kuwafundisha kulima...

Fund raising hata Obama nafanya sio aibu sababu sio omba omba!
 
Viongozi wa dini wabaya; kabaki na gwajima. Wengine wamesepa na pesa zote .


Only in tanzania , viongozi wa dini wapiga dili


ndo mshenga mimi
 
Back
Top Bottom