nkwasangare
New Member
- Jul 18, 2013
- 3
- 0
Tunapenda kumpongeza waziri mkuu aliyejiuzulu kwa manufaa ya umma baada ya kushindwa kuelezea jinsi mikataba ya Richmond walivyoisaini kwa moyo wake alioupata baada ya kujiuzulu kusaidia taasisi mbalimbali kwa harambee akishirikiana na marafiki zake kwa ajili ya hizo asasi .Mungu amzidishie huo moyo wa huruma aliyokuwa nao huyu baba kwani ni waziri mkuu mstaafu wa kwanza kuzunguka nchi nzima kwa kugawa hiyo misaada bila ya kuwa na nia yeyote ya uongozi kwani hata uwaziri mkuu wenyewe aliamua kuwaachia bila ya majibu ya kueleweka.Tunategemea isije ikawa hiyo misaada ni kwa kusudio lingine labda baadae tusikie na yeye anaomba URAIS ikawa ni njia ya kuja kuendelea kusaini mikataba mibovu na kurudisha hizo hela anazozigawa Hivyo tuwe makini kuja kuongozwa na mafisadi.