kichwa cha topic kinajieleza,ni mzuri najijua though si wa kutisha,nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo,am dark skin,sio mrefu ila nmempita urefu lulu michael kidogo. Shida ni nini? yes am overconfident,ila sidhani hiyo ni sababu. Am smart kichwan hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea??? Nakubali me ni antisocial. ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back,now nimeacha. And am just 23,whats wrong with me????
Nikaoge baharini au?
Em nifarijini guys,hata mkinitusi poa me sinaga noma.