Umesema kwa sasa huchagui tena! Mbona wa mitandaoni tayari unawatenga. Utaozea kwenu mdogo wangu. Hiyo unayojiita overconfident ndio inayokugh'arimu. Believe me...sipendagi wa kwenye mitandao mimi
sipendagi watu wa mitandaoni
Kali hiyoUmesema kwa sasa huchagui tena! Mbona wa mitandaoni tayari unawatenga. Utaozea kwenu mdogo wangu. Hiyo unayojiita overconfident ndio inayokugh'arimu. Believe me...
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada mbona haueleweki umeweka bango mwenyewe afu unasema haupendi wa mitandaoni what if ukute mie wa mtandaoni ndiyo muumini mwenzio kanisani na jirani yako pia hapo nyumbani?sipendagi watu wa mitandaoni
kila la heri katika kumpata huyo ambaye hatumii mitandaosipendagi watu wa mitandaoni
Umeirudia tena tabia yako ya kuwa Selectivesipendagi watu wa mitandaoni
Hio ni shida mojawapo uliyonayo. Kwani Mungu alikwambia mume unaemuomba atakuja kwa njia gani?sipendagi watu wa mitandaoni
Kama huwapendi wa mitandaoni, basi na shida yako wapelekee huko huko mtaani sio hapa mtandaonisipendagi watu wa mitandaoni
No Formula Unataka Utongozwe kwa Kutumia 4Figure ?!!!hata sitaki wa mitandaoni mie
KWANI APA ULIPO NI CHUMBANI?siwezi date na wa mitandaoni
unajua sio boys wote wanaweza kuku seduce faster faster bila kujua una reflect vp vile uki meet nae or ukiwa una talk nae,kichwa cha topic kinajieleza,ni mzuri najijua though si wa kutisha,nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo,am dark skin,sio mrefu ila nmempita urefu lulu michael kidogo. Shida ni nini? yes am overconfident,ila sidhani hiyo ni sababu. Am smart kichwan hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea??? Nakubali me ni antisocial. ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back,now nimeacha. And am just 23,whats wrong with me????
Nikaoge baharini au?
Em nifarijini guys,hata mkinitusi poa me sinaga noma.