"Sitomuibia tena Mwalimu! Najuuta" Bishanga anahusika!

"Sitomuibia tena Mwalimu! Najuuta" Bishanga anahusika!

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,787
Husika na maneno yaliyo kwenye headin, si maneno yangu, bali ni maneno ya Kibaka-Mwizi aliyemuibia Mwl.
Pamoja na tambo zake hapa jamvini kwamba ni mkwasi , na ni mshefa vyanzo vyetu vime clarify Bishanga ni Ticha wa Primary moja around Dar es salaam's outskirts.
Hivi majuzi kati akiwa kwenye daladala lililosheheni nyomi pomoni, Kibaka (jina kapuni) alimchomolea walet Bishanga.
Aliyokutana nayo kwenye wallet kibaka huyo!
Ndiyo kauli aliyoitoa kunako headin !
Alikutana na wingi wa mapepa kadha wa kadha, baadhi vikiwa :-
> Vijikaratasi lukuki vya majina ya wanafunzi wapiga kelele class, vilivyoandikwa na mamonita wa madarasa tofautitofauti.
> Makaratasi yenye majina ya mastudent waliochelewa namba!
> Majina ya wanafunzi waliokopa ubuyu na bagia! (note hii ni biashara ya The secretary)
> Makaratasi yenye majina ya wanaomdai!
> Kadi za mualiko kwenye mkesha wa mwenge za mwaka 2010!
> Salary slip ambazo zilisoma hakuna alipo pokea mshahara kamili , zote alikatwa advance! > Makaratasi ya samansi mahakamani.
> Kadi ya kupigia kura, kadi ya uanachama chama cha walimu, na vyeti kadhaa vya hospitali.
Aidha kwenye wallet kulikua na bic mbili, ya bluu nyekundu , na kipande nusu cha chaki, na noti pekee ya sh 500 iliyokua imechoka.
 
Last edited by a moderator:
Unaandika kama utani wakati ni hali halisi. Hujasema wallet yenyewe imechakaa hata haiuziki!
 
Mamndenyi uko wapi aise nimekumissije halafu mchina wangu aliitumbukia kwenye maji aise nashindwa hata kuona JF iko wapi
 
Last edited by a moderator:
uwiiiiiiiiiiiii, keleuwiiiiiiiiiii,
ha ha ha haaaa
ni kitu gani hiki,
kujidai kote anamiliki vitu vya bei mbaya ndo Bishanga huyu
yee mai weeee,
ye kalanda kaskolo.
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky,
mmmmh we acha tu,
nimepigwa majungu humu jamvini hata hamu sina tena
Habari za huko ulikojichimbia.


najua majungu yanaongozwa na Erickb52 na Arushaone na watu8 ila mimi nipo salama kabisa
Nazisaka njuluku wakati zimeota mbawa aise hazikamatiki kabisa
Nimejaribu kutumia kamchina ka mtu hapa nikalog in humu JF bana
Nipo dear wangu achana na hawa wafitini akina Erickb52
 
Last edited by a moderator:
nawapa copy hawa walau wapunguze vilimilimi
1. Nicas Mtei (Mkwe naye anamwonea wivu mkwe wake, loh)
2. Arushaone (sina uhusiano wowote naye yaana hatujuani)
3. Erickb52 (kijana mdogo anataka mambo ya kikubwa, loh)
4. @watu8 ( ni bendara tu kufuata upepo)
5. Bishanga (hayakuhuuuu)
wale mashosti nawamezea kwanza yaani nawaweka kiporo.


najua majungu yanaongozwa na Erickb52 na Arushaone na watu8 ila mimi nipo salama kabisa
Nazisaka njuluku wakati zimeota mbawa aise hazikamatiki kabisa
Nimejaribu kutumia kamchina ka mtu hapa nikalog in humu JF bana
Nipo dear wangu achana na hawa wafitini akina Erickb52
 
heheheeee tajiri la kihaya Bishanga kawa tajiri la ufukara anauza ndizi kwenye guta.....pole weee
 
Last edited by a moderator:
Hizi tuhuma ni nzito bepari kuwa ticha wa shule za msingi.
usikute ndo yule wa kwenye tangazo la square root la haki elimu.
 
Unaandika kama utani wakati ni hali halisi. Hujasema wallet yenyewe imechakaa hata haiuziki!

Nimeshindwa kuelewa kwa kweli sasa hiyo ni wallet au mfuko wa plastic hahaha
 
Back
Top Bottom